KERO Nimekoma kukopa mitandaoni, wanagawa namba yangu kwa watu ili wanipigie

KERO Nimekoma kukopa mitandaoni, wanagawa namba yangu kwa watu ili wanipigie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Aisee nilipata dharula nikakopa kwenye moja ya hizi app siku ya marejesho sikuwa na kiasi husika walichokifanya wamegawa namba zangu kwa watu hata siwafahamu kwa siku napigiwa simu hata Mia na watu tofauti kisha wamewapigia ndugu zangu wa karibu waliopo kwenye contact list yangu....dah nimeamua liwalo na liwe maana wanasema watapost nida yangu mitandaoni na kuuwambia umma kuwa mimi ni muhalifu hatari wa mtandao....msaada wa mawazo, kwa sasa nakunywa sana pombe kali ili kupunguza mawazo ila pombe ikiisha tatizo bado linabaki palepale
Kukopa na kuto lipa deni ni kukosea sana.nakushauri ukikopa ujue utakavyolipa pia
 
Hao jamaa ni matapeli kiwango unachoomba hupewi kilekile mfano kama umeomba laki na nusu unapewa say laki na kumi halafu zinakuja kwa mafungu mafungu labda 20k 30k 40k na 60k na kila hela itadaiwa kivyake na kampuni tofauti tofauti mwishowe wanawapa namba wale jamaa wa tuma hela kwa namba hii...najuta
Ulidownload app kwa kubofya link chini ya video?
 
tupa line anza maisha mapya hakupati mtu mwsho wanapoa wenyewe
 
Hivi vipombe ukiwa na elfu mbili unalewa vya kutosha
Mara nyingine sajiri no mpya kisha weka wahuni wenzako wasave baba mkubwa baba mzazi,baba mkwe,
mjomba. Boss yaani weka maina ya watu waheshima kisha kopa mpunga wako hela ikiingia itumie utakavyo na usilipe. kisha subiri usumbufu wao na uwaambie hizo ni za wahuni wenzangu mnapoteza muda wenu ukiona kero imezidi toa laini hakikisha nawewe ni muhuni yaani hata laini yako ulisajiri kkwa nida yako isiwe na majina ya watu muhimu.
 
Sikuwa na lengo ovu
 
Wape muda watapoa tu hao..
Kuna jamaa wamemfanyia hivyo, walivyompigia simu akawabia "kuna SMS wametuma wenzenu, kama mnataka niwasaidie ku-edit na kuwatumia ndugu na jamaa wote". Anawaambia hawezi kuwalipa hao matapeli, hakuna tiba za kihuni hivyo.
Na kweli jamaa anadaiwa kabla.
 
Sijaelewa
 
Niliwahi kutaka kukopa kukawa na sehemu wanasema eti niruhusu app yao ku access contact list yangu .. nilishtuka nikaachana nayo .. kumbe walitaka wafanye hivyo
 
Back
Top Bottom