KERO Nimekoma kukopa mitandaoni, wanagawa namba yangu kwa watu ili wanipigie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kukopa na kuto lipa deni ni kukosea sana.nakushauri ukikopa ujue utakavyolipa pia
 
Ulidownload app kwa kubofya link chini ya video?
 
tupa line anza maisha mapya hakupati mtu mwsho wanapoa wenyewe
 
Hivi vipombe ukiwa na elfu mbili unalewa vya kutosha
Mara nyingine sajiri no mpya kisha weka wahuni wenzako wasave baba mkubwa baba mzazi,baba mkwe,
mjomba. Boss yaani weka maina ya watu waheshima kisha kopa mpunga wako hela ikiingia itumie utakavyo na usilipe. kisha subiri usumbufu wao na uwaambie hizo ni za wahuni wenzangu mnapoteza muda wenu ukiona kero imezidi toa laini hakikisha nawewe ni muhuni yaani hata laini yako ulisajiri kkwa nida yako isiwe na majina ya watu muhimu.
 
Sikuwa na lengo ovu
 
Wape muda watapoa tu hao..
Kuna jamaa wamemfanyia hivyo, walivyompigia simu akawabia "kuna SMS wametuma wenzenu, kama mnataka niwasaidie ku-edit na kuwatumia ndugu na jamaa wote". Anawaambia hawezi kuwalipa hao matapeli, hakuna tiba za kihuni hivyo.
Na kweli jamaa anadaiwa kabla.
 
Sijaelewa
 
Niliwahi kutaka kukopa kukawa na sehemu wanasema eti niruhusu app yao ku access contact list yangu .. nilishtuka nikaachana nayo .. kumbe walitaka wafanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…