Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Nilikua kipenzi cha mishikaki ya mia mia. Kwa siku nilikua nakula mishikaki 10 - 20.

Niliugua Hpylori, nilitumia zaidi ya laki 5 kwenye matibabu.

Toka kipindi hicho ninaishi na usemi "cheap is expensive".

Sili vitu hovyohovyo barabarani.
Na hivi pilory wanakuaje mpaka wanagandiana mwilini mana hata mm nilisumbuliwa sana na hawa kenge
 
Pole sana Mkuu

Kuna wakati niliwahi kuugua tumbo la namna hiyo baada ya kunywa juicy kwenye Mgahawa Fulani hapo Masaki

Kutokea Siku hiyo, nimekuwa mwoga sana wa juicy.
Masaki ya wapi? Mbona nasikia kule wanakusagia hapohapo matunda masafi, mazima kabisa
 
Ukisikia rahisi ghali ndio hii sasa,pole sana mdau
 
UKa mpididy bila kunawa na sasa bado tunasubiri umalize drip tukiwekee catheta maana soon hata mkojo utaanza kutoka kwa jasho jingi
 
Pole sana,ungekunywa maziwa fresh tu baada ya hapo hali yote isingefikia huko
 
Itakua ilikua mbagala nasikiaga speaker 🔊 zinatangaza.

Pole Sana Sanaa mkuu utapona Ila AFTERMATH utakua makini Sanaa mkuu.

Siku zoteee tambua anything cheaper Ina consequences zake ndio Kama yaliyo kukuta pole Sana bro.

GETWELL SOON BROTHER.
 
Uchumi hauruhusu kula vinono. Unadhani kwa aslay mihogo sipajui basiii
 

Attachments

  • Screenshot_20240929_120224_Instagram.jpg
    215.3 KB · Views: 4
Nimeharakia maisha kumbe bado mtoto mdogo sana. Pilau limeungwa na nazi kila kitu na kachumbari kubwa tu. Sotojo la maana kumbe halina viwango. Najuta
Kachumbari na sharubati (juice) ya miwa ni hatari Sana kwa afya ya mlaji.
Hivyo havipikwi kupata magonjwa ya tumbo nje nje dakika 10 tu.
Hilo pilau kama pilau huenda lilikuwa salama na safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…