Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Sasa mkuu una kata mwezi mzima huwez nunua suppu ya buku mbilj na chapati mbili HV utanenepa Kweli
 
Jana nimempa mtu hizo ingridients zako na yeye akaniongezea na mchele na mbegu za maboga kanitengenezea unga mzuri.

Jana jioni nimeupika nikaweka na maziwa fresh na ya unga kuongeza ladha yaani ni mtamu hatari 😁 halafu unanunikia vizuri sana.
Leo nishakunywa vikombe viwili na pia nahisi unaleta hamu ya kula coz leo najihisi njaa njaa tu.
 
Uko Huwa una njaa
 
watu ambao wanazingatia sana afya ndio wanakumbwaga na kashkash kama zako... ishi tu jiachie!
 
watu ambao wanazingatia sana afya ndio wanakumbwaga na kashkash kama zako... ishi tu jiachie!
Barikiwa kwa ushauri mkuu ila wataalam wanashauri tusisubiri kuumwa ndo twende hosp.
 
unauzito gan na urefu ghn?
 
Hayo magonjwa yote yamepona mkuu kasoro ACID REFLUX,huo ninao toka niko mtoto,hauna tiba so far. Haujawahi kunikondesha.
Okay pole. Severe Gastritis kwasababu ya acid inaweza kuingilia mmeng'enyo wa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…