- Thread starter
- #181
Hongera kwa mfungo dear.Weka stress pembeni kulala
Mi sahivi namshukuru Mungu,nilipitiwa kipindi km hiki, though mi sbb kubwa ilikuwa ni fasting ya muda mrefu na mara Kwa mara!
Ila sshv namshukuru Mungu Kwakweli
Ila kupungua ya mfungo ukimaliza na mwili unarudi automatically