dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
Jaribu kunadilisha mazingira. Nenda vacation mkoa tofauti na ulipo. Mazingira tuliyoyazoea sometimes yanatuboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akusaidieNitajitahidi mkuu.
Ndio.Wakat wengine tunahangaika kupungua, ww unatamani kunenepa?
amina🙏Tafuta amani ya moyo kwanza.. ivyo vingine nyongeza tu.
Njoo pm tuyajenge
Nina acid reflux ila haisababishi mtu akonde na mbali ya hapo sina shida nyingineKapime maradhi ya tumbo kwanza
Una kimo gani yaani urefu wako?
Kwasasa una kilo ngapi na ulikuwa na kilo ngapi?
Unachokitafuta utakipata Tu, endelea Tuhuwa nafanya general health check up
Yes kilo zimeporomoka hadi najishtukia.Mmmmmmhmn hapa kweli umeshuka kilo, yaani una kilo chache kushinda mfuko wa cement.
Anyways, nadhani unatakiwa tu kuzingatia diet kuanzia sasa
Lipa madeni ya watu.Happy new year beautiful people.
Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.
Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid).
NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini, figo, moyo, kansa ya mlango wa kizazi na matiti.(Ni kautamduni tu nimejiwekea)
Natanguliza shukrani
Weka stress pembeni kulala
Kwanini?Yes kilo zimeporomoka hadi najishtukia.
Ndo hivyo napambania diet nirudishe mwili wangu
Kuna connection gani mkuu 🤣Hapa ataongezeka taco tu...
Yes kilo zimeporomoka hadi najishtukia.Mmmmmmhmn hapa kweli umeshuka kilo, yaani una kilo chache kushinda mfuko wa cement.
Anyways, nadhani unatakiwa tu kuzingatia diet kuanzia sasa
Ushauri wako mzuri mkuu ila majukumu yangu hayaruhusu vacation kwa sasa.Jaribu kunadilisha mazingira. Nenda vacation mkoa tofauti na ulipo. Mazingira tuliyoyazoea sometimes yanatuboa
Kama imeshindikana jikubali tu mkuu, kikubwa usiwe na stress, kula vizuri, jenga life style nzuri, pata peace of mind utanawiri tu.Hongereni kwa kukubali matokeo mkuu
SawaLipa madeni ya watu.
🤣🤣🤣DuhWe ni Tulia Akson?
Ukiumaliza huo ushauri njoo upate dawa amazing ambayo ni zao la kujamiiana. You only release those hormones when you are so turned on! Trust me ile enjoyment itakufumua mwili ukawe vile unapenda.Finallly numepata ushauri.
Appetite sina ila vimiminuka vinapita labda hiyo lishe itapita pia.
Barikiwa kipenzi nitazingatia.