Nimekosa ajira za ualimu tena

Usikate tamaa mkuu japo inauma ila yatapìta
Mi nna gpa ya 3.7 tena kozi za afya na nimemaliza 2013 ila nimekosa!
Hao tamisemi Mungu anawaona waache watutese tu waweke watu wao,
 
Shida sio Bashungwa, ila root cause ni ile sera ya kuminya ajira since 2015 ..aisee yaan ata ww ukilundika kazi lzm zipo ambazo utazipotezea tu
 
Inabidi wewe ndio upambane mpaka kielewe ili uzao hapo baadae usije kupata shida kama wewe unavyosota hivi sasa.
 
Maumivu sana. Yaani wa 2021, 2020 anapata kazi ya Serikali wa intake za nyuma wanakosa. Hivi wanafikiri mikopo ya Bodi itarudije? Au hawaoni Bodi inahitaji kurudishiwa Mikopo? Ndio ya haya haya PSSPF kuchota fedha za Michango na Kujenga Majengo yasiyolipa. As a Result wanawanyima Wastaafu Mafao Yao na kuleta Kikokotooo. Nchi hii wenye kuwaza Kwa ajili ya wasio na Watetezi hawapo. Utasikia Bodi imekufa au haikopeshi tena siyo Himilivu. Lisa kushindwa kutoa Ajira za Serikali kwanza Kwa Wadaiwa wa muda mrefu.
 
Hapa Nadhan serikali imefanya kuajili cert na diploma wengi ili kupunguza gepu la mishahara (wage bill).

Kumbuka degree holder anakula almost twice the salary ya diploma holder, hivyo hivyo kwa certificate.
 
Mkuu solution pekee ni KUJIAJIRI tu na kuachana na huu UPUUZI
 
Serikali ingejitahidi kuzingatia mwaka mtu alomaliza chuo.Mfao wajikite kweny kuwamaliza wale wa 2015,then wamalize2016...nakuendelea.Kwa njia hii hata mtu akikosa ajira hatalalamik San cz anajua zamu yke itafika wambele yake wakiisha
Mfano,Phisics walihitaji 1972,History 79,wanaajiri kutokana na mahitaji ndugu
 
Hili swali lipo pia kichwan kwangu
 
Miaka 34 bado unaomba kazi tena ualimu [emoji3]
Kuna watu mna matatizo vichwani sio bure,nyie ndo mnaopigwa hela na manabii feki mana akili hamna.
Acha dharau, serikali kuweka muda wa kikomo miaka 45 sio wajinga
 
Shida sio Bashungwa, ila root cause ni ile sera ya kuminya ajira since 2015 ..aisee yaan ata ww ukilundika kazi lzm zipo ambazo utazipotezea tu
Ndio maana Muumba aliingilia kati, sasa huyu kashacheza muvi ya royo tua, ngoja tuone na hii muvi ataifikisha wapi
 
Mkuu solution pekee ni KUJIAJIRI tu na kuachana na huu UPUUZI
Kujiajiri ni ndoto ya kila mmoja anayepambana, lakini mwanzo huwa mgumu, back up ni muhimu. Ukiwa na angalau uhakika wa kupata mlo wa siku, unaweza kurisk kujiajiri bila stress
 
Toka 2015 unatafuta kazi😁😁 daa hii nchi bana una miaka 34 bad unagombea kufundisha....sisi tuliweka elimu yetu chini tukaingia kupambana hata kama unafanya kazi na form four leaver ila hadi tukafika hapa tulipo cheti changu kipo ndani
 
Pole sana... fikiria pia kwenye kujiajiri
Miaka saba yupo mtaani it means kuna kitu alikuwa anafanya Ila anaona bado hakijamfaa ndo maana anatafuta ulinzi wa maisha kupitia kile alichokigharamikia kwa muda na kwa hela.

Kujiajiri kibongo bongo ni msamiati mmoja mgumu sana maana hata kama una wazo la biashara mtaji huna wa kukupa mtaji nae huna inabidi pia uwe na bahati upande huo bahati nayo unakuta mtu hana hii ndiyo maana tunaona vijana wakitapatapa kugombea hizi ajira japo malipo nayo ni kiduchu.

Mleta mada nikupe pole sana kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…