Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 413
- 289
akikuambia GPA yake utamsaidia nini mana watu tuna upper second ya UDSM ila tumekosatuambie GPA yako ya ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikuambia GPA yake utamsaidia nini mana watu tuna upper second ya UDSM ila tumekosatuambie GPA yako ya ukweli
Kuna mtu namjua ajra za enzi za Jiwe alifanyiwa koneksheni, pesa ikaliwa hakupata nafasi, na hizi za juzi kakosa. Amehitimu mwaka 2015, umri 30 kuelekea 31 sasaInasemekana connection zilikua nyingi kila staff ana majina mfukoni hadi Ilibidi takukuru waingilie kati, nchi ngumu sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani huu uzi ni wa kazi gani?akikuambia GPA yake utamsaidia nini mana watu tuna upper second ya UDSM ila tumekosa
Ndo ukweliInasemekana connection zilikua nyingi kila staff ana majina mfukoni hadi Ilibidi takukuru waingilie kati, nchi ngumu sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2]Unamatope kichwani wewe! Hao kambale watakuwa wanakusubiri wewe?!
Nani kakwambia diploma ya ualimu analipwa pesa hiyo?Yaani aache basic ya 653,000 Ili aendelee na Kazi za ufundi za kubangaiza?
Angekuwa fundi mkubwa na anapata mapato zaidi ya hayo asingeenda
Inabidi wewe ndio upambane mpaka kielewe ili uzao hapo baadae usije kupata shida kama wewe unavyosota hivi sasa.Haki Nchi hakuna. Wa 2021, 2020, 2019, 2018, 2016, 2015 hawakapata Ajira kwenye Mfumo Rasmi wa Serikali. Kwa wanaothamini Vijana wao Priority inabidi iwe walioanza kuhitimu ndio waanze. Kijana hajasota anakuwa wa kwanza kupewa huku wa Zamani akiachwa. Ni Maumivu saaaana Vijana wanapitia.
Maumivu sana. Yaani wa 2021, 2020 anapata kazi ya Serikali wa intake za nyuma wanakosa. Hivi wanafikiri mikopo ya Bodi itarudije? Au hawaoni Bodi inahitaji kurudishiwa Mikopo? Ndio ya haya haya PSSPF kuchota fedha za Michango na Kujenga Majengo yasiyolipa. As a Result wanawanyima Wastaafu Mafao Yao na kuleta Kikokotooo. Nchi hii wenye kuwaza Kwa ajili ya wasio na Watetezi hawapo. Utasikia Bodi imekufa au haikopeshi tena siyo Himilivu. Lisa kushindwa kutoa Ajira za Serikali kwanza Kwa Wadaiwa wa muda mrefu.Alukuja mshikaj wangu anaomba nimtizamie mambo hayo ya ajira maana yeye hana kifaa cha intanet. (Ana kitoch tu)
Nikazama kwenye tuvuti ya tamisemi na kupakua orodha ya waalimu. Kuna jumla ya kurasa 125 na waliochagiliwa ni 9800.
Tuliangalia jina la kwanza had la mwisho hakuwepo. Nilimhurumia sana maana mm STEGEMEI KUAJIRIWA. aliondoka bila kuaga.
Ila naomba wajuvi wa lugha mnijuze kurasa zote 125 kichwa cha habar wizara
imeandika "WALIOAJILIWA" je hii sawa?
View attachment 2275481
Mfano,Phisics walihitaji 1972,History 79,wanaajiri kutokana na mahitaji nduguSerikali ingejitahidi kuzingatia mwaka mtu alomaliza chuo.Mfao wajikite kweny kuwamaliza wale wa 2015,then wamalize2016...nakuendelea.Kwa njia hii hata mtu akikosa ajira hatalalamik San cz anajua zamu yke itafika wambele yake wakiisha
Hili swali lipo pia kichwan kwanguMimi nimeshangaa tu kitu kimoja hivi ukisema nafasi zimebakia na walioomba hawa kukidhi vigezo unamaanisha nini?
Je, taarifa zilizopo siyo sahihi au vyeti vilivyotumwa vina tatizo?
Kuna Course ya afya aliomba Dogo langu lakini nimeahangaa eti imechagua hapo watu 24 kati ya 200 na hizo nafasi 200 ziko wazi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Hii nchi ni ngumu, je waliotuma walitakiwa kukidhi vigezo gani?
Acha dharau, serikali kuweka muda wa kikomo miaka 45 sio wajingaMiaka 34 bado unaomba kazi tena ualimu [emoji3]
Kuna watu mna matatizo vichwani sio bure,nyie ndo mnaopigwa hela na manabii feki mana akili hamna.
Ndio maana Muumba aliingilia kati, sasa huyu kashacheza muvi ya royo tua, ngoja tuone na hii muvi ataifikisha wapiShida sio Bashungwa, ila root cause ni ile sera ya kuminya ajira since 2015 ..aisee yaan ata ww ukilundika kazi lzm zipo ambazo utazipotezea tu
Kujiajiri ni ndoto ya kila mmoja anayepambana, lakini mwanzo huwa mgumu, back up ni muhimu. Ukiwa na angalau uhakika wa kupata mlo wa siku, unaweza kurisk kujiajiri bila stressMkuu solution pekee ni KUJIAJIRI tu na kuachana na huu UPUUZI
Toka 2015 unatafuta kazi😁😁 daa hii nchi bana una miaka 34 bad unagombea kufundisha....sisi tuliweka elimu yetu chini tukaingia kupambana hata kama unafanya kazi na form four leaver ila hadi tukafika hapa tulipo cheti changu kipo ndaniNdugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe Bashungwa kama umehusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Miaka saba yupo mtaani it means kuna kitu alikuwa anafanya Ila anaona bado hakijamfaa ndo maana anatafuta ulinzi wa maisha kupitia kile alichokigharamikia kwa muda na kwa hela.Pole sana... fikiria pia kwenye kujiajiri