Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ni lazima wakuajiri?Kuna rafiki yangu aliambiwa tu kwamba Amekataliwa kwa sababu Afisa Fulani kamkataa.Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu waliowahi kuwaajiri kutoka same college kama mimi hawana kawaida ya kudumu kwenye hiyo kampuni,nimejiuliza hii ni sababu ya kutoswa kweli au wameajili mhindi mwenzao huko so wanaleta sababu za kipuuzi kujitetea?
View attachment 2023426
Inakera Sana kwakweli.It's costly kumhire mtu, umtrain then before 2yrs anaondoka.
Muajiri anahaki hiyo. Ni kujifunza kutokana na makosa tu Hamna namna
There you are.Hata mimi ningekuwa na kampuni,and through data-trend ikaonekana hivyo ningefanya kama wao in some ways.It's costly kumhire mtu, umtrain then before 2yrs anaondoka.
Muajiri anahaki hiyo. Ni kujifunza kutokana na makosa tu Hamna namna
Elimu ya UDSM ni ya-kipuuzi sana, Imekaaa sana kisiasa kwa tuliosoma hapo.Mhindi+mchina=Upuuzi.
Ukiona hivyo elewa kuwa vijana wa udsm huwa wanawachallenge au kampuni haina mishahara ya kueleweka ndio maana watu hawadumu hapo.
Inasikitisha sana, Kwa nini hawakukuambia mapema usipoteze muda wako.Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu waliowahi kuwaajiri kutoka same college kama mimi hawana kawaida ya kudumu kwenye hiyo kampuni, nimejiuliza hii ni sababu ya kutoswa kweli au wameajili mhindi mwenzao huko so wanaleta sababu za kipuuzi kujitetea?
View attachment 2023426
Kabudi alisema udsm ni JALALANI. Labda wahindi hawataki product ya dampo/jalalani.Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu waliowahi kuwaajiri kutoka same college kama mimi hawana kawaida ya kudumu kwenye hiyo kampuni, nimejiuliza hii ni sababu ya kutoswa kweli au wameajili mhindi mwenzao huko so wanaleta sababu za kipuuzi kujitetea?
View attachment 2023426
UDSM = Jalalani.
UDSM = Jalalani.
Hatari kweli kweli!!Aliyenena hayo kwa lugha ni profesa Nguli na mwana halisi aliyepikwa akapikika na kuibuka best student of the year in DS100 huko.
Hiiiiii bagosha!
Source: Rejea CV yake [emoji16][emoji16].