BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Yeah,ni nyakati za microfinance kupiga pesa. Mabenk yataumia kwa kukosa wateja. Karibia kila mtumishi ana kamkopo aliko default kwenye simu.. nadhani hawakutafakari vyemaHuu uhuni utawanufaisha watu wasio hata na leseni ya biashara hii ya kukopesha.
Na common mwananchi atakutana na riba za ajabu.
Jana loan officer mmoja wa CRDB alikuwa analalama kuwa wateja wake 10 ambao ni watumishi wametemwa na system baada ya ku apply mkopo kupitia Ess