Yeah,ni nyakati za microfinance kupiga pesa. Mabenk yataumia kwa kukosa wateja. Karibia kila mtumishi ana kamkopo aliko default kwenye simu.. nadhani hawakutafakari vyemaHuu uhuni utawanufaisha watu wasio hata na leseni ya biashara hii ya kukopesha.
Na common mwananchi atakutana na riba za ajabu.
Week mbili zilizopita nilikua nahangaika kweli kufatilia wanifutie hiyo taarifa ila nahisi ni kwa crdb tu mana nilivyoona naambiwa nitume taarifa citinfo ili wanifutie nako mzunguko tuu nikaenda Nmb chap tu nikapataNi lini hyo mkuu.
Week mbili zilizopita nilikua nahangaika kweli kufatilia wanifutie hiyo taarifa ila nahisi ni kwa crdb tu mana nilivyoona naambiwa nitume taarifa citinfo ili wanifutie nako mzunguko tuu nikaenda Nmb chap tu nikapata
Anha,kumbe ni CRDB tu nkajua benki zote. Sasa ina maana hao NMB hawana hyo taarfa yako? Au wao wameamua kupotezea tuWeek mbili zilizopita nilikua nahangaika kweli kufatilia wanifutie hiyo taarifa ila nahisi ni kwa crdb tu mana nilivyoona naambiwa nitume taarifa citinfo ili wanifutie nako mzunguko tuu nikaenda Nmb chap tu nikapata
Wewe ni mtumishi au ulikuwa unachukua mkopo wa kibiashara?Nilikosa mkopo crdb kisa Mpawa tena ambayo imeshalipwa ilicheleweshwa tu shilingi 3000 ikaninyima mamilioni sina hamu.
Mwisho wa siku wataachia tu.Yeah,ni nyakati za microfinance kupiga pesa. Mabenk yataumia kwa kukosa wateja. Karibia kila mtumishi ana kamkopo aliko default kwenye simu.. nadhani hawakutafakari vyema
Jana loan officer mmoja wa CRDB alikuwa analalama kuwa wateja wake 10 ambao ni watumishi wametemwa na system baada ya ku apply mkopo kupitia Ess
Ofcoz,haimake sense benk wapoteze faida eti kwa sababu ya 5000 ya mpawa. Wakati wanahaha kutafuta wateja waje kukopaMwisho wa siku wataachia tu.
Na pia serikali itapoteza kodi nyingi kutoka kwenye mabenki, hivyo lazima tu watabadili utaratibu huo(wataufuta au wataurekebisha).Ofcoz,haimake sense benk wapoteze faida eti kwa sababu ya 5000 ya mpawa. Wakati wanahaha kutafuta wateja waje kukopa
Haimake sense kwa kweli,mpawa ya buku 2 imnyime mtu mil 30Ni benk zote, ila benki nyingine wanapotezea tu.
Pengine kama mlikuwa hamjui, ni kwamba kuchelewesha kulipa mkopo kuna athari siku za baadae kama unataka kukopa tena.Niko Makini sana, shida ni hao credit info. Ila benki hawana shida kabisa. Na humu nimeona wengi wanalalamikia jambo hili
Kwenye kukopa huwezi ukawa perfect 100%, hata benki wanalijua hili ndio maana kuna zamana. Kuchelewa ni kawaida tu mbona.Pengine kama mlikuwa hamjui, ni kwamba kuchelewesha kulipa mkopo kuna athari siku za baadae kama unataka kukopa tena.
Hii inakuwaje maana watumishi hukatwa marejesho kwenye mshahara, maana yake mkopeshaji hupata malipo yake kabla mtumishi hajapokea mshaharaNaona mabenki pia yanahaha,maana wanatamani kuwakopesha watumishi lakini bahati mbaya mtumishi hakopesheki kwa sababu ya record mbaya ya kutolipa.
Hao credit info ndo walitakiwa watoe maelezo kwa benk ili kutoa go aheadNimeshaenda CREDIT infor, wamewaandikia benki watoe Maelezo hivyo naasubiri tu hapa.
MtumishiWewe ni mtumishi au ulikuwa unachukua mkopo wa kibiashara?