Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,973
Ukianza kutafuta mume... NistueNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukianza kutafuta mume... NistueNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Itabdi nisubiri bahat kwa mara nyingine maana yule ashaniachia vumbi.Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
Itabdi nisubiri bahat kwa mara nyingine maana yule ashaniachia vumbi.
Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
Unaowapenda na wao hawakupendi, hiyo ni Siri nakuibiaNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
penda unachojaaliwa kukipata, acha kutamani usichojaaliwa kukipata, jua litakuchea.Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
waitaji mke wa aina gani?ni PM... natafuta mke.
Kwanza ujue unataka wanaume wa hadhi gani middle class au upper class au washika dini . Ukishajua Hayo unajilengesha maeneo yao na si ikiita unaleta pozi jaribu bahati yako hakufai mblock piga chini tafuta mwingine [emoji23]Nijibu bathiii vibaya hivyo ukijua mwenyewe [emoji85] [emoji85]
umejipa kazi isiyokuwa yako mkuu(subiri kutongozwa )mimi ni mwanamke
Mume mwema mtu hupewa na Bwana Mungusina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
kumbe hemed ni HB?? dah nimejua leoDuh umri umeenda sana ila sidhan wote wanaokutongoza hakuna hata mmoja mwenye nusu ya sifa Za unaemuhitaji au unamuonekano Jokate na unahitaj hb kama Yusuph mlela au Hemedi [emoji2][emoji2][emoji2]