Nimekosa mwanaume 'serious'

Nimekosa mwanaume 'serious'

Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
Itabdi nisubiri bahat kwa mara nyingine maana yule ashaniachia vumbi.
 
Pole Dada yangu haya mambo very complicated na kama unaendelea kuchagua jua utazeeka ukiwa bado hujapata MTU serious.

Angalia upya vigezo vyako stress zitajakuzidi usipokua makini.

Pia

Sio lazima kuoa au kuolewa nitafute nikuzalishe uendelee kulea mtoto wako.
 
Kadri unavyozidi kuongeza umri, choices zako zinazidi kupungua. Imagine ulivyokuwa 25, kulikuwa na vijana kuanzia 25++ walivutiwa na wewe, ulivyovuka 30, idadi iliweza kuanzia 30++, sasa upo 35, uwezekano wa kumpata Mr Right chini ya umri huo ni mdogo na walio 35++ single ni wachache pia.
 
Nijibu bathiii vibaya hivyo ukijua mwenyewe [emoji85] [emoji85]
Kwanza ujue unataka wanaume wa hadhi gani middle class au upper class au washika dini . Ukishajua Hayo unajilengesha maeneo yao na si ikiita unaleta pozi jaribu bahati yako hakufai mblock piga chini tafuta mwingine [emoji23]
 
Inatakiwa mwanaume akupende si mbaya ukujifunza kuwapenda wanaokupenda ila ukiweza tumia ishara za kuwatongoza hao wengine fanya ila tu uwa na tahadhari ya kutumiwa na kuachwa mana ni wanaume wachache watamkataa demu aliyejitongozesha mwenyewe
 
mkuu siyo haujapata mwanaume ila unaowaona hawana vigezo unavotaka wewe pole omba mungu akuonyeshe wako bac..
 
Ukute mtoa mada mwenyewe level zake ni kuolewa na wanaume wa tandale half yeye analenga wanaume wa high class, hlf yy mwenyewe has almost nothing to put on table (sio mrembo wa umbo na sura) hapo lazma shida iwepo

The same thing inatokea kwa ss wanaume lyk wengine wanataka madem wazur high quality wkt wao sura ni kama mugabe hlf mfukoni MTU yupo broke hapo lazma uone dunia inakuelemea

Mm nimejifunza ku-stay in my lane when it comes to aidha finances or relationships, mm sijichoshagi na mademu wa kupatia sifa mtaani, mm na-date demu ambae naweza kum-manage, lyk ataniheshimu, she won't leave and willingly mistreat me no matter what.

Dada yangu ananiambia namwaibisha coz rafiki zake wa kike wanashangaaa mm niki-date na msichana wa aina flani (madai yao ni kuwa wasichana ninaodate nao are below my league, (I.e sio wa hadhi yangu) sasa mm najiuliza walitaka ni-date na nani, nyani auu

Finally unaweza ukaoa/ukaolewa na mwanaume au mwanamke wa ndoto zako or someone who's above ur league but its rare and it depends on ur love luck, nlishaachanaga kitambo kufukuzia madem ambao naona sio level zangu (in terms of physical attractiveness) miss chagga mahondaw mama mtarajiwa
 
sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
Mume mwema mtu hupewa na Bwana Mungu
Usiache kumwomba Mungu
Pia tatizo hili linawakuta watu wengi ja changamoto za kiuchumi zimepelekea wanaume wengi kutotaka kuoa mapema
So usikate tamaa
 
Duh umri umeenda sana ila sidhan wote wanaokutongoza hakuna hata mmoja mwenye nusu ya sifa Za unaemuhitaji au unamuonekano Jokate na unahitaj hb kama Yusuph mlela au Hemedi [emoji2][emoji2][emoji2]
kumbe hemed ni HB?? dah nimejua leo

RIP kanumba.
 
Back
Top Bottom