Kama n ivyo mkuu nipo tayari kuolewaa Ila mwanamke asinipandie kichwani😂Bro kuolewa si kwamba unakaa ndani tu mkuu si unakuwa na kazi zako[emoji23][emoji23][emoji23]zinakuingizia hela lakini hazimshindi zile za mwenzako [emoji23][emoji23] usiogope kuolewa mzeee ni raha kwanza kunakupunguzia majukumu ya hapa na pale[emoji23][emoji23] tuolewe kwa afya mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kazana usiache hio mzeeMmeanza kuona mabadiliko ya haraka mkuu Sina budi kukushukuru😂
HahahaMmeanza kuona mabadiliko ya haraka mkuu Sina budi kukushukuru😂
Kupanda kichwani ni wewe tu utakavyojiposition kwake kifikra tu wengi wetu tuna kuwa na mawazo kwamba kisa mwanamke anakipato kuliko wewe basi akifanya kitu kidogo tu unasema ananidharau kisa ana hela kunizidi kumbe wala ni fikra tu tulizo nazo wakati ukizidi kuonyesha upendo pale wala hakuna kitu kama icho pamoja na kuondoa izo dhanaKama n ivyo mkuu nipo tayari kuolewaa Ila mwanamke asinipandie kichwani[emoji23]