Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Home team to win!! au mtu asipokaa sawa anaweza pigwa CLEANSHEETWale wazee wa kubeti tunaitaje hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Home team to win!! au mtu asipokaa sawa anaweza pigwa CLEANSHEETWale wazee wa kubeti tunaitaje hii
😂 Mtu unaweza kuwa chizi kisa ujinga tu, nimepokea ushauri ngoja tukae kijanja tu mana watu wanachange Tena ukizingatia hata hati ya nyumba sijawai iona.Hakuna kitu inauma kama kibuti cha namna hiyo hua kinafanya wanaume wengi kuongea peke yao huko njiani.
Braza we jipe moyo mguu ndani mguu nje huko mbeleni kadri siku zinaenda jiongeze mwenyewe mguu wa nje uuingize mdani au mguu wa ndani nao uumalizie kuutoa nje
Basi muache ajenge siyo unachangia ujenzi afu anakuja kukaa mme mwenzio unaanza kulalama,na pia ni bora ukamfahamu vyema huyo mdadaIla si mwanaume anatakiwa kujiongezaa?nikizungumzia hati saiv ataniogopa mana ndio mwez wa 5 huu[emoji28]
Hapo ndo point unatakiwa kukaza sana usimchekee na akijua weakness ni hiyo umeliwa na manyoya 🤣🤣🤣🤣wanawake hawataki weakness kabisaMkuu hapo mwenye confidence hapo🤝 😂 ndio nahisi nakwamaa boss
Utakuwa na matatizo basi kwani kuolewa kunatoa uanaume wako ndani sarakasi forinkonko zote si unarukaSanaaa[emoji23], Mimi ni mtu wa kaskazini wanapoishi wameru mkuu.
Kaa nae kwa akili[emoji23] Mtu unaweza kuwa chizi kisa ujinga tu, nimepokea ushauri ngoja tukae kijanja tu mana watu wanachange Tena ukizingatia hata hati ya nyumba sijawai iona.
Sawaa boss nmekuelewa🙏Basi muache ajenge siyo unachangia ujenzi afu anakuja kukaa mme mwenzio unaanza kulalama,na pia ni bora ukamfahamu vyema huyo mdada
Na kitendo cha kutumwa ukasimamie ujenzi kina walakini either kuna namna unaonekana unafaa kutumwa tumwa
Hahahahah kula sana tikiti maji,ndiz mbivu na tende utanishukuru! Usisahau maji mengi na zoezi kidogo😂 Sawaa mzee, hati kuichukua naweza ngoja nilinoe gegedo langu nlipige na service week lijalo likasaidiane na mdomo kupata hati
Bro kuolewa si kwamba unakaa ndani tu mkuu si unakuwa na kazi zako[emoji23][emoji23][emoji23]zinakuingizia hela lakini hazimshindi zile za mwenzako [emoji23][emoji23] usiogope kuolewa mzeee ni raha kwanza kunakupunguzia majukumu ya hapa na pale[emoji23][emoji23] tuolewe kwa afya mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Ya nini yote hayo? Boss io kitu never ni bora nibaki na matatizo yangu tu kuliko uo ushaur mkuu[emoji1666]
Sawa, ngoja nimtaarifu kuku wetu wa taifa na kifaranga chale. Ukiwa na bahati utawala leo hii hii.😂😂 Kama ni ivo nipe connection mkuu
Natumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu.
Niingie kwenye mada.
Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliyopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni kama ana miaka 20 hivi.
Nilimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. Sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa na kaka yake na kipato kikubwa tu anapata. Miaka yake ni 26 Ila kimuonekano ni mdogo, juzi kanambia tuende mahali kumbe ni kununua materials ya kupeleka site, kumbe ana eneo na nyumba msingi umeanza.
Tukienda mahali hata pesa za manunuzi ananikabidhi na akiwa busy ananiomba nikasimamie mafundi. Nashindwa kuwa na ujasiri wa kuchangia ujenzi naomba ushauri halafu pia wakuu hili ni zali au nikimbie tu nimuache na projects zake.