Cos101
JF-Expert Member
- Sep 16, 2020
- 446
- 1,021
Hongera mkuu, si wengi wana ufahamu huo. Kujiamini ndo kila kitu. Wanawake wanaojielewa are attracted to leadership.Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.