Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
- Thread starter
- #41
Hapo nmekuelewa kufanya jambo Kama kusaidia kirafiki kadri ya uwezo kwa kuamini watu wanabadilika. Naomba nkuelewe leo
Usiingize pesa kwenye mradi wa mwanamke, ungekuwa na ndoa naye sawa lkn sasa ukitoa iwe umempa tu kama sapoti ya kirafiki lkn usiweke pesa yako kama kitu chenu wote.
Waogope sana wanawake kwenye vitu vyao...ipo siku utanielewa