Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sanaa mkuu umesema busaraUsichangie ujenzi kwenye kiwanja cha mwanamke na hampo kwenye ndoa. Kama mpo kwenye ndoa sawa iyo mali ni yenu ata itokee mmegombana nyumba sio yake wala yako niya ndoa maana mmeichuma pamoja . Busara zingine za kimahakama zitatumika kingawanyo
😀 Shukran Sanaa boss nimekuelewaUshauri wangu kuwa naye kwenye mahusiano ila jenga kwako kaka yaani alipojenga yeye wewe isikuumize sana. Usi entertain ujenzi wake wewe fanya na pambana na maisha yako.
Duniani wazungu wengi wapo hivi ila every one hustles. Yaani bills on your own.
Ushauri mzuri sana kijana tafuta vya kwakohuyukakuwekea mtego baadaye atakuumiza, fanya kazi kwa bidii, mwombe Mungu uchumi wako uwe mzuri zingatia hayasasa wewe jichanganye ukadhani huo ni mserereko yani kuna siku atakuja kukwambia maneno ya dharau na kukuletea shombo ukikumbuka umechangia hela lakini hati ya kiwanja ni yake walahii unaweza kuua…. ACHANA NA MALI ZA MWANAMKE ULIZOMKUTA NAZO UKITAKA MUISHI KWA AMANI TAFUTA ZAKO. Ila kama unataka kula ane bata tu hapo sawa usiweke hela yako hapo kwenye hiyo nyumbaaa utakuja KULIA.
😀 Asante kwa ushaur mzuri Ila umekuwa na gazabu Sanaa, ungenikata makofi ningekuwa karibu. Ila asante boss nmekuelewa🙏Usifanye kosa kama hilo kwa wanawake, mwenzako ameona umri unakwenda anapalilia ndoa. Anakupelekaje site hajakujulisha anajenga hilo ni kosa ana-tabia za kuficha huko mbeleni atakusumbua, mtu mwenye upendo anakuwa mkweli, muwazi, anakushirikisha jambo kabla hajafanya , wewe unakubalije kupelekeshwa hivyo.Hapo marafiki huna sauti ukiingia kwenye ndoa ndiyo itakuwa balaa. Usiingie kwenye ndoa kijinga tengeneza uchumi wako kwanza
Shukran mkuu, ushaur mzur Sanaa. Umeona vemaa.🙏sasa wewe jichanganye ukadhani huo ni mserereko yani kuna siku atakuja kukwambia maneno ya dharau na kukuletea shombo ukikumbuka umechangia hela lakini hati ya kiwanja ni yake walahii unaweza kuua…. ACHANA NA MALI ZA MWANAMKE ULIZOMKUTA NAZO UKITAKA MUISHI KWA AMANI TAFUTA ZAKO. Ila kama unataka kula ane bata tu hapo sawa usiweke hela yako hapo kwenye hiyo nyumbaaa utakuja KULIA.
Katika aya ya pili umemshauri vyema sana mkuu. Ubarikiwe kwa mawazo na ushauri wako kwa mleta mada.Una kitu tunaita inferiority complex, unajiona duni mbele yake kwa sababu amekuzid umri na uwezo kifedha. Wengi wetu, wanaume, hukosa ujasiri mbele ya mwanamke wa aina hiyo. Sababu kubwa ni tamanio la kimaumbile lililowekwa ndani yetu kumuongoza mwanamke na tunafikiri ili kuweza kufanya hivyo lazima uwe na pesa kumzidi na umri mkubwa kuliko yeye.
Pesa na umri ni catalyst lakini sio msingi wa hierarchy ya kiuongozi hasa kwenye mahusiano. Akili, ufahamu wa kutosha, maono na namna unavyojitazama ndo msingi. Kwa hiyo jitazame hapo, unaweza kuwa na umri mdogo kwa namba lakini ukawa na uwezo wa kufikiri na kutenda kwa uwezo mkubwa kulinganisha na vijana wa umri wako. Usijione duni, Jiamini, tafuta maarifa, kutana na watu sahihi and be a good man. Huyo mwanamke ana akili mnaweza kufanya maisha vizuri ukitulia.
Asante mkuu. Tuko hapa kusaidiana kadri iwezekanavyo.Katika aya ya pili umemshauri vyema sana mkuu. Ubarikiwe kwa mawazo na ushauri wako kwa mleta mada.
Yaani mkuu mimi JF nimejifunza mambo mengi. Kuna watu wa aina zote, washauri wazuri, wadhalilishaji, waleta soga, wenye kuwajenga watu kifikra na kimaendeleo, nk. Yaani humu kuna mambo yote. Ni kichwa chako tu kinachohitaji u focus wapi. JM ni kisima cha maarifa tosha pia. Kuna ushauri humu ukifuata UNATOBOA mkuu. [emoji120][emoji106]Asante mkuu. Tuko hapa kusaidiana kadri iwezekanavyo.
Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.Una kitu tunaita inferiority complex, unajiona duni mbele yake kwa sababu amekuzid umri na uwezo kifedha. Wengi wetu, wanaume, hukosa ujasiri mbele ya mwanamke wa aina hiyo. Sababu kubwa ni tamanio la kimaumbile lililowekwa ndani yetu kumuongoza mwanamke na tunafikiri ili kuweza kufanya hivyo lazima uwe na pesa kumzidi na umri mkubwa kuliko yeye.
Pesa na umri ni catalyst lakini sio msingi wa hierarchy ya kiuongozi hasa kwenye mahusiano. Akili, ufahamu wa kutosha, maono na namna unavyojitazama ndo msingi. Kwa hiyo jitazame hapo, unaweza kuwa na umri mdogo kwa namba lakini ukawa na uwezo wa kufikiri na kutenda kwa uwezo mkubwa kulinganisha na vijana wa umri wako. Usijione duni, Jiamini, tafuta maarifa, kutana na watu sahihi and be a good man. Huyo mwanamke ana akili mnaweza kufanya maisha vizuri ukitulia.
Kila kitu kipo hapa. Me mpaka wife amenibatiza jina na mwanajf[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mkuu mimi JF nimejifunza mambo mengi. Kuna watu wa aina zote, washauri wazuri, wadhalilishaji, waleta soga, wenye kuwajenga watu kifikra na kimaendeleo, nk. Yaani humu kuna mambo yote. Ni kichwa chako tu kinachohitaji u focus wapi. JM ni kisima cha maarifa tosha pia. Kuna ushauri humu ukifuata UNATOBOA mkuu. [emoji120][emoji106]