Nimekosa ujasiri kwenye hili

Nimekosa ujasiri kwenye hili

Watu wanachemka hapo tu, mwanamke akikupenda hata amiliki ghorofa 3 kariakoo we ndio unakuwa final say...Only when you have confidence enough to handle her! Atakusikiliza kuliko mtu yeyote 😂😂😂 watu sijui mnakwama wapi yani unaanzaje kumtetemekea manzi!
Mkuu hapo mwenye confidence hapo🤝 😂 ndio nahisi nakwamaa boss
 
Hahaha demu mwenyewe bado ana miaka 4 mbele ya kuendelea kuwinda mwanaume anayemtaka hapo sio pa kutegemea sana!
Sawa sawaa😅 mkuu Ila najitahd tu kwenye motoo tu asikimbie
 
Hamishia mabegi ila uombe demu asiwe na akili za shilole tu 😂😂😂 maana utafurumushwa kwa aibu humo hutaamini aheri uhamie kutoka geto kwako uwe unakuja usiku kumkaza tu
😂😂 sawaa mkuu Ila Juz kati nlimkaza mbaya hadi akawa anataka kunipa hati ya kiwanjaa
 
Kama unataka kushiriki ujenzi muandike majina yenu otherwise kitakuwa ni kiherehere kuchangia ujenzi usiokuhusu na wala hujaombwa kuchangia
Ila si mwanaume anatakiwa kujiongezaa?nikizungumzia hati saiv ataniogopa mana ndio mwez wa 5 huu😅
 
Natumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu.

Niingie kwenye mada.

Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliyopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni kama ana miaka 20 hivi.

Nilimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. Sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa na kaka yake na
Apo tulia usiongee kitu afu kwenda site kusiamie mafundi usikubali utapakwa mafuta
 
Natumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu.

Niingie kwenye mada.

Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliyopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni kama ana miaka 20 hivi.

Nilimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. Sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa na kaka yake na kipato kikubwa tu anapata. Miaka yake ni 26 Ila kimuonekano ni mdogo, juzi kanambia tuende mahali kumbe ni kununua materials ya kupeleka site, kumbe ana eneo na nyumba msingi umeanza.

Tukienda mahali hata pesa za manunuzi ananikabidhi na akiwa busy ananiomba nikasimamie mafundi. Nashindwa kuwa na ujasiri wa kuchangia ujenzi naomba ushauri halafu pia wakuu hili ni zali au nikimbie tu nimuache na projects zake.
Niuzie mimi hilo zali mkuu..
 
Hakuna kitu inauma kama kibuti cha namna hiyo hua kinafanya wanaume wengi kuongea peke yao huko njiani.
Braza we jipe moyo mguu ndani mguu nje huko mbeleni kadri siku zinaenda jiongeze mwenyewe mguu wa nje uuingize mdani au mguu wa ndani nao uumalizie kuutoa nje
 
Ila huko mbeleni hata akikubali muishi nae kwenye nyumba yake kuna vimanyanyaso huwa vinajitokeza alafu kidume uwezo wa kukohoa huna unabaki na tumaumivu twa moyo ambao inafika mahali unachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom