Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

mm nilinunua hivyo hivyo kwa tigo kutoka crdb..... nilipoenda tigo waaliniunganisha na wakala akajirushia vocha yote akanipa cash 105000 kutoka 150000 niliyokosea nilikuwa dom
 
mm nilinunua hivyo hivyo kwa tigo kutoka crdb..... nilipoenda tigo waaliniunganisha na wakala akajirushia vocha yote akanipa cash 105000 kutoka 150000 niliyokosea nilikuwa dom
Ahsante kwa ushauri mkuu, nitajaribu pia.
 
Umeyatimba,pole mwanetu ila achana na simbank kama unapica vyombo
 
nakumbuka 2017 nami nilikosea nikajitumia laki 6 muda wa maongezi badala ya mpesa....nilikuwa kama naumwa maana nilijaribu njia zote za kurudisha zilifeli....nilikosa amani na raha kwa miezi mingi sana...pole sana ndugu yangu, vumilia
 
nakumbuka 3027 nami nilikosea nikajitumia laki 6 muda wa maongezi badala ya mpesa....nilikuwa kama naumwa maana nilijaribu njia zote za kurudisha zilifeli....nilikosa amani na raha kwa miezi mingi sana...pole sana ndugu yangu, vumilia
3027 ni password..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…