- Thread starter
- #21
Dahhh hii inaumiza sana mkuu,Uza kama bando..
Mimi last week nilikosea nikalipa from my namba tigo kwenda kwa lipa namba ya voda nikawa nime wrong......
Aisee kimbembe mpaka Leo nazungushwa Kama chapati ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhh hii inaumiza sana mkuu,Uza kama bando..
Mimi last week nilikosea nikalipa from my namba tigo kwenda kwa lipa namba ya voda nikawa nime wrong......
Aisee kimbembe mpaka Leo nazungushwa Kama chapati ðŸ˜
Transaction mkuuMuamala ndo nini?
OhkTransaction mkuu
Ahsante kwa ushauri mkuu, nitajaribu pia.mm nilinunua hivyo hivyo kwa tigo kutoka crdb..... nilipoenda tigo waaliniunganisha na wakala akajirushia vocha yote akanipa cash 105000 kutoka 150000 niliyokosea nilikuwa dom
Airtel money mkuu.
145,000/-
Tumia tu au gawa au uza. Utapoteza muda kufuatilia na sioni ukitoboa.Airtel money mkuu.
145,000/-
Umeyatimba,pole mwanetu ila achana na simbank kama unapica vyomboWakuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi.
Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa, natanguliza shukrani.
Haifai mkuu, nashkur pia kwa ushirikiano.Niuzie 50K, But ntakupa mwisho wa mwezi!
3027 ni password..??nakumbuka 3027 nami nilikosea nikajitumia laki 6 muda wa maongezi badala ya mpesa....nilikuwa kama naumwa maana nilijaribu njia zote za kurudisha zilifeli....nilikosa amani na raha kwa miezi mingi sana...pole sana ndugu yangu, vumilia
sory mwaka 20173027 ni password..??
Pesa ndogo hiyo mkuu, bora ugawie ndugu, jamaa na warembo then maisha yaendelee...Airtel money mkuu.
145,000/-