Nilifanya hivo kwa mtandao wa voda nikitaka kutoa pesa inanunua salio. Haswa kwa app.
Nilikuja kuomba msaada humu majibu yakawa kama ya hapo juu, humu watu kumninaaaa sana humu fckn kabisa.
Usipanic. Hyo hela utatumia yote vocha. Ikaushie. Tafuta watu wa airtel (wenye mtandao huo) uwe unawaunga. Relax fanya hivo.
Mimi nashukuru Mungu i was around watu wanajiunga vifurushi vya mwezi. Niliuza nikarudisha pesa yangu.
Humu watu fkn sana, achana nao.