Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

Makampuni ya simu na benki yanatakiwa yawe sensitive to logical errors kama hizi. Una set limit tu kuwa haiwezekani ku Transfer zaidi ya 10,000 kama muda wa maongezi kwa wakati mmoja.
 
CRDB wanatakiwa kurekebisha menu yao ya kutuma fedha kwenye simu. Mimi ilinitokea last year kuna mtu nilikuwa namtumia hela yake nikajichanganya badala ya kutuma kama pesa nikatuma kama salio. Bahati nzuri huyo mtu akawa muungwana kwangu akasema atajua anaitumia vipi. Though ilikuwa 50k tu.
 
Nilifanya hivo kwa mtandao wa voda nikitaka kutoa pesa inanunua salio. Haswa kwa app.
Nilikuja kuomba msaada humu majibu yakawa kama ya hapo juu, humu watu kumninaaaa sana humu fckn kabisa.

Usipanic. Hyo hela utatumia yote vocha. Ikaushie. Tafuta watu wa airtel (wenye mtandao huo) uwe unawaunga. Relax fanya hivo.

Mimi nashukuru Mungu i was around watu wanajiunga vifurushi vya mwezi. Niliuza nikarudisha pesa yangu.

Humu watu fkn sana, achana nao.
 
Back
Top Bottom