Nimeku "miss" kwa kiswahili

Nimeku "miss" kwa kiswahili

hivi unamwamnbia mtu nimekumiss wakati ukiwa nae au ukiwa mbali nae? maana utaona mtu kamkumbatia mtu halafu anamwambia nimekumiss sana!
 
Maaana halisi ya meno nimeku miss maanayake nimekupuss au nimeku paka
 
Sidhani (na niko tayari kusahihishwa) kama TUKI ama BAKITA huwa zina utaratibu unaofanana na huo hata kwa mbali. .

Nakumbuka kuna kipindi neno 'kasheshe' liliingizwa kwenye kamusi ya kiswahili.

Hivi, si hata neno 'kukurukakara' nalo limeshaingizwa kwenye msamiati? Nakumbuka kitu kama hicho, ila sina uhakika sana.
 
"I married my husband in 1983.


How can a woman marry her husband???, She marries him to become what??!!.

A woman marries a man to become wife and husband respectively.
 
Back
Top Bottom