MABROUK KUCHI
New Member
- Jun 27, 2013
- 1
- 0
Nadhani nimekumiss kwa kiswahili sanifu ni:NIMEKUPEZA/NIMEKUDATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
awali nilidhani inaweza kuwa nimekukumbuka, lakini nahitaji msaada zaidi ili nisidhani tena
Katika Socratic method hata solution italetwa kwa swali. Unaweza kuona swali katika jibu, na jibu katika swali.
Hapana.
Unachanganya kukua kwa lugha na kukua kwa matumizi ya lugha, vitu viwili tofauti.
Tuchukue mfano wa kwamba Kiswahili kilikua sana miaka iliyopita kwa sababu hakukuwa na Kiingereza, kikafikia maneno takriban 200,000 yajulikane kwa kila muongea Kiswahili, watu walikipenda kweli...
Nakumbuka mwalimu wangu wa kiswahili aliniambia lugha inaweza kuzaliwa, kukua na hata kufa.
Je, haiwezekani kuwa lugha fulani kuwa na maneno fulani na baadaye yakawa kama yamekufa labda kwa kutotumika japo yapo kwenye kamusi?
Nakutamani, natamani kukuona. Ndio maana yake. Ila si matamanio ya kuduu, enheee
Hiyo ni tafsiri sisisi mkuu!Nimekukosa!
Hiyo ni tafsiri sisisi mkuu!
umepatia.....
....shida ni watu wanajaribu kutafsiri neno kwa neno badala ya neno kwa maana matokeo ni kuja na misamiati ya hovyo mfano:
1. Nimeku-miss=nimekukosa...tafsiri ya kijinga kabisa
2. Breaking News=habari mpasuko...huu ni ujinga uliopevuka
3. Newshour=habari za saa....upumbavu usio kifani
Habari mpasuko!Aise! JF raha kwelikweli. Embu ngoja na mimi nijitutumue
1. I have missed you = Nimekuwa mpweke kukukoswa
2. Breaking news = Habari ya ghafla(Habari ya kushitukiza)
3. News hour = Wakati wa habari (Saa ya habari)
Vipi hapo
Inawezekana kabisa na kamusi za Kiingereza huwa zina maelezo mbele ya maneno kama hayo.