Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Binadamu usizoeane nae sana na kitu kinacho waumizi wengi ni ile trust ya kila kitu
Yaani unamfanya mtu kama ndugu yako kabisa na kujiachia kila kitu kwa kumuambia mambo yako yote
Hell No jaribu kuwa na siri kwa mambo yako na usichunguze ya wenzio
Kuna mtu alikuja kazini masikini kaja tu akapata depression kwa mgogoro na mke wake, akawa anahadithia mambo yake kwa kila mtu
Mwisho nikamuita nikamuambia nakupa ukweli hii ni depression acha kumuongelea mtu tusiemjua na maisha yako yawe siri yako
Ilimchukua mda sana kupona kama miezi minne
Huu ni mfano nimechomekea ila mjitahidi sana kuweka siri mambo yenu zaidi ya general tu
Pole ila wala usihangaike sana hata kama anajua mengi kuhusu wewe hapo umejifunza na sisi kila leo tunajifunza na kujirekebisha pia
Endelea na maisha yako piga kazi