andremg10
Senior Member
- Oct 25, 2023
- 119
- 125
Poza moyo wako, you were wrong about him but you did just right.Mkuu sikuexpect chochote kutoka kwake ni kwamba nilizani ni mwenzangu kumbe sio I was wrong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poza moyo wako, you were wrong about him but you did just right.Mkuu sikuexpect chochote kutoka kwake ni kwamba nilizani ni mwenzangu kumbe sio I was wrong
Ni hatari Mimi Kuna mmoja nilijua badae ni snitch na ni mswahili ,nikafuta namba yake. Siku moja boss kaniambia nimpigie nimwelekeze majukumu /Kuna kazi alitakiwa afanye [emoji2][emoji2][emoji2] Nikamwambia boss sina namba yake .Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua najipa umuhimu kwake, yeye ananichukulia tofauti na nilivodhani. Aisee, nimeumia sana, naomba Mungu nisamehe, ila kuna muda nikiikumbuka najikuta naumia na kushikwa hasira.
Huyo jamaa niko nae ofisi moja, tunafanya kazi yan miongoni mwa staff wote, yule ndo nilimuona kama rafiki. Kila nikiiona akitype kwenye group kazini, hasira zinanijia. Nimeamua kubadili jina lake, nimesave kivingine, hii kidogo imenipa relief. Disappointment zinaumiza sana, hasa kwa yule mtu uliemuamini sana na kumuona mwema, kumbe yeye yuko vice versa ya unavyofikir. Wakuu, vipi kwa upande wenu, mnadeal vipi na disappointment? Nimegundua disappointment kutoka kwa watu wa karibu zinaumiza sana.
Sasa si ufunguke tuone hiyo disappointment imekujaje...yawezekana ukiisema tutajua namna ya kusaidia au kujifunzaWakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua najipa umuhimu kwake, yeye ananichukulia tofauti na nilivodhani. Aisee, nimeumia sana, naomba Mungu nisamehe, ila kuna muda nikiikumbuka najikuta naumia na kushikwa hasira.