Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Weka vyeti pembeni fanya kazi yoyote. Ni rahisi kubadili kazi kuliko kutafuta kazi, kwa kuanza tafuta kazi ambazo hazihitaji sana vyeti mfano, ujenzi (kasaidie mafundi), ulinzi (makampuni yapo mengi mjini), na kazi nyingine za nguvu..

Ukiwa na kazi hiyo ni rahisi kupata kazi nzuri zaidi kama unajua kutumia fursa .
 
Achana na dhana ya wewe ni msomi... Anza kuishi kama mtu ambaye hajasoma, fanya kazi yoyote itakayokuingizia kipato. Na ili ufanye kazi yoyote toka eneo ulikozaliwa tafuta maeneo ambayo hutambuliki na kila mtu!. Kwenye hizi kazi za zisizohitaji taaluma au vyeti kama ujenzi,ulinzi ndio connection ya maisha kuwa mepesi huanzia. Kazi ya ujenzi unafanya kuanzia saa saa 1 asubuhi mpk 11 jioni unatoka zako na kibunda Cha 15000, sio kazi nyepesi but kuingiza kitu si sawa na kupoteza muda mtaani. Vyeti visikudanganye .....
 
Kulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo km ushauri huu ndio wanaopewa vijana wanaomaliza Chuo?
 
Wewe ndo hauna maana mtaani wala siyo elimu, kwa dunia ya sasa ya utandawazi umemaliza chuo na bado unaongea huu ujinga?
Umeshindwa hata kuwa mwizi wa kutumia akili!
Unamaanisha nini unaposema Mwizi? Unafikiria km wote tukiwa Wezi hali tutaishije? Tung'oe yale manondo ya kingo za Daraja la Tanzanite hali itakuaje?
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado

SO WHAT WE GONNA DO
Mkuu; bado hujaizungusha barua na cv kwa Nyanda Banka. Huyo hawezi kushindwa. Niamini mimi.
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado

SO WHAT WE GONNA DO
IMG-20240607-WA0068.jpg
 
Back
Top Bottom