Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

DSM ndo rahisi kutoboa ukiwa Una fine tune unaweza kufikia lengo.

Huwa nashangaa graduate anakimbilia kijijini na kuacha Ku-hustle DSM .

Sio lazima ule madawa Ila waweza wewe Kuwa ndo hayo madawa yenyewe.

Sky is limit everyday RICH.
Wewe umekomalia kutoboa kutoboa Dar wapo Vijana kibao wametoboa Pua na Masikio Ila hawana mafanikio
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado

SO WHAT WE GONNA DO
Nasikitika kusema kwamba watu wanakwenda shuleni kusoma ili kuweza kukabaliana na maisha kwa ufanisi zaidi na siyo kuajiriwa. Je, unadhani chanzo cha kukosa ajira ni nini? Je, mfumo wa uongozi wa nchi unaweza kuwa chanzo? Je, unadhani unaweza kutumia elimu yako kudai kuleta mabadiliko ya mfumo? Haya ndiyo mambo muhimu msomi yeyote anatakiwa kujiuliza.
 
Ni kweli sijajibu swali. Ila kama unadhani kupata elimu ni kupoteza muda, hebu jaribu kutokuipata elimu. Wahenga walisema: "Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga"
Kuna watu hawana elimu Ila wana Mafanikio, nilishawahi kwenda bank Jamaa ana Hela kibao Ila kuandika hajui kabisa nilishangaa kanyuka suti kali Ila kuandika hajui haujui hajui Ila Pesa anazo km uchafu, kwa hio Jibu unalo

Usikariri kwamba Shule/Elimu ndio mafanikio kuna watu hawajui kuandika hawajui kusoma Ila wana Mafanikio makubwa sana kupita watu walioenda Shule
 
Ni kweli sijajibu swali. Ila kama unadhani kupata elimu ni kupoteza muda, hebu jaribu kutokuipata elimu. Wahenga walisema: "Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga"
Wahitimu wengi wa Tanzania wanakwenda shuleni kukariri kujibu maswali ili wapate maksi nzuri na kupata ajira. Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Ndiyo maana unakuta wanashindwa hata kuwa viongozi wa kudai mabadiliko ya mfumo ambao umefeli kabisa.
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado

SO WHAT WE GONNA DO
Hebu jiondoe kwenye dhana wewe ni mhitimu wa chuo kikuu!jione kama ulisafiri kwa muda mrefu Dana tangu ukiwa na Miaka saba na Sasa ndio umerudi nyumbani!!!!

Sasa jikite kwenye fikra zako Nini unaweza kufanya halafu kuwa risk taker juu ya wazo hilo ulilopata!!
 
Ajiondoe alafu iwe nini? Kulikua na umuhimu gani wa yeye kwenda Shule/Chuo kupoteza Muda? Hapo alipo Serikali Ina Mdai Pesa za boom na hajui atazirudisha Vipi
 
Back
Top Bottom