Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wale wanaotuona sisi wabahili kwa sababu hatuhongi waje watuulize.Achana na dhana ya wewe ni msomi... Anza kuishi kama mtu ambaye hajasoma, fanya kazi yoyote itakayokuingizia kipato. Na ili ufanye kazi yoyote toka eneo ulikozaliwa tafuta maeneo ambayo hutambuliki na kila mtu!. Kwenye hizi kazi za zisizohitaji taaluma au vyeti kama ujenzi,ulinzi ndio connection ya maisha kuwa mepesi huanzia. Kazi ya ujenzi unafanya kuanzia saa saa 1 asubuhi mpk 11 jioni unatoka zako na kibunda Cha 15000, sio kazi nyepesi but kuingiza kitu si sawa na kupoteza muda mtaani. Vyeti visikudanganye .....
Tunapata pesa kwa jasho na damu.
Ndio maana hatutaki kuwa mapunda wa mbususu