Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Mitaala inatungwa na Wahitimu wanaosoma Chuo? Kuhusu kukariri MIMI nilikua Bingwa wa kujibu maswali kutokana na uelewa wangu sikua napenda mambo ya kukaririsha vitu Ila Walimu wanataka ujibu kilichoandikwa kwenye kitabu unafanyaje unajibu unavyoelewa wewe kuendana na uelewa wako ufeli au unajibu km kilivyo kwenye kitabu ili ufaulu?Wahitimu wengi wa Tanzania wanakwenda shuleni kukariri kujibu maswali ili wapate maksi nzuri na kupata ajira. Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Ndiyo maana unakuta wanashindwa hata kuwa viongozi wa kudai mabadiliko ya mfumo ambao umefeli kabisa.
Mfano Geography Ina maana nyingi kuendana na uelewa Ila Mwalimu atataka ujibu kuendana ilivyoandikwa kwenye kitabu cha mtaala sasa hapo kosa la nani Mhitimu au kosa la Mwalimu? Usilaumu kitu usichokielewa vizuri
Kulikua na umuhimu gani wa yeye kwenda Shule/Chuo ikiwa Serikali unajua fika hawatampatia ajira?
Ifike wakati suala la kupeleka mtoto Shule liwe ni la hiari ya Mzazi na Mtoto lisiwe suala la lazima Mzazi akitaka apeleke Mtoto Shule ambae anaona namna gani amtafutie shughuli ya kufanya mapema kabla jua halijazama mtafutie eneo alime mazao ya Biashara, mtafutie Mifugo auze Ngozi, nyama na Maziwa sio kukomaa na makitu Shule/Chuo unasomea Petroleum au telecommunication alafu baadae eti unakua Muuza karanga huo ni usenge kwanini usingeuza karanga kuanzia pale pale ulipokua na Miaka 10 mpaka unafika 20 nna hakika ushakua mfanyabiashara mzuri na uzoefu wa kutosha, unapoteza miaka zaidi ya 10 kwenye hakuna