Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Hapa issue sio habari yeye kwenda chuo Bali anawezaje kuyamudu maisha yake nje ya taaluma yake...
Akaombe mtaji kwa waliomlea na kumkuza au sio Serikali kakaa pembeni Si ndio? Serikali inaenda kukopa kwa ajili ya uchumi wa Buluu Ila sio kwa ajili ya mitaji ya vijana au sio? Mikopo ya Halmashauri wanapeana kwa kujuana au sio? Km hawakujui hawakupi Mkopo au sio? Zile Boda Boda pia wanagawa kwa kujuana km hawakujui hupati au sio? Ndio Serikali hio unayoisema au ni nyingine? Serikali ni wapi inapowazungumzia kwa upana vijana zaidi ya kuwaweka kwenye special group la Wanawake na Walemavu yaan vijana wanaomaliza vyuo ni Wanawake vijana wanaomaliza vyuo ni Walemavu? Vijana ilibidi wawekwe kwenye KUNDI lao wao km wao ili waweze kujikwamua kiuchumi
 
Basi acha tumpe abc za mtaani zilivyo... Wengine tulishasahau kama tuliwahi kusoma na tuishi mtaani kama kawaida...
Nani ambae hajui ABC za mtaa nimekuuliza Serikali inapohimiza wazazi wawapeleke watoto Shule alafu baadae inawamwaga wanazagaa tu inakua na maana gani? Hivi umewahi kufikiria hilo au hujawahi kufikiria? Kwanini Serikali inalazimisha kwanini isiwe hiari? Mimi nataka wanangu wasiende huko Shule wafanye biashara mpaka anafika 20 kashakua mfanyabiashara mzuri tu sasa unakuta mtu 23 anamaliza Chuo Hana uelekeo anaanza kusota kutembeza bahasha na CV yake huo ni usenge
 
nyie ndiomliokua mnasoma sanaa sio?😁😁😁😁😁
kama upochuo unasoma masomo yasiohusiana na sayansi nduguyangu acha unapoteza mda njoo mtaani utuuzie maduka yetu

kama mwanao sekondari ana soma masomo ya Sanaa hata akifaulu usilipe adatena aishie hapohapo
akiendelea anapoteza muda tuu. dunia ishahama huko
 
Dr haya dar bagumu nyie 😂😂😂
Mbona wanazidi kumiminikia huko na hakuna anayerudi kwa ajli ya ugumu uliopo?
Nani ambae hajui ABC za mtaa nimekuuliza Serikali inapohimiza wazazi wawapeleke watoto Shule alafu baadae inawamwaga wanazagaa tu inakua na maana gani? Hivi umewahi kufikiria hilo au hujawahi kufikiria? Kwanini Serikali inalazimisha kwanini isiwe hiari? Mimi nataka wanangu wasiende huko Shule wafanye biashara mpaka anafika 20 kashakua mfanyabiashara mzuri tu sasa unakuta mtu 23 anamaliza Chuo Hana uelekeo anaanza kusota kutembeza bahasha na CV yake huo ni usenge
Hapana mkuu. Huyo anakuwa na uwanja mpana zaidi wa kutembeza bahasha na cv yake. Ni suala la muda na uwezo wa mtu kujiongeza na kuzitambua fursa zilizopo.
 
Mbona wanazidi kumiminikia huko na hakuna anayerudi kwa ajli ya ugumu uliopo?

Hapana mkuu. Huyo anakuwa na uwanja mpana zaidi wa kutembeza bahasha na cv yake. Ni suala la muda na uwezo wa mtu kujiongeza na kuzitambua fursa zilizopo.

Upo sahihi kwa MTU hustler Kama unahama DSM unabidi kwenda ulaya na sio vijijini
 
Back
Top Bottom