Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kuna kazi MBEZI beach mwambieUnajua kufanya nini wewe kama wewe....??
Una creativity gani wewe kama wewe....??
Akili tuu kichwani mwako mwanangu.....
Njoo ulinde magodauni ya wahindi. Mshahara ni robo bumuHaya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO
Kulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo km ushauri huu ndio wanaopewa vijana wanaomaliza Chuo?Achana na dhana ya wewe ni msomi... Anza kuishi kama mtu ambaye hajasoma, fanya kazi yoyote itakayokuingizia kipato. Na ili ufanye kazi yoyote toka eneo ulikozaliwa tafuta maeneo ambayo hutambuliki na kila mtu!. Kwenye hizi kazi za zisizohitaji taaluma au vyeti kama ujenzi,ulinzi ndio connection ya maisha kuwa mepesi huanzia. Kazi ya ujenzi unafanya kuanzia saa saa 1 asubuhi mpk 11 jioni unatoka zako na kibunda Cha 15000, sio kazi nyepesi but kuingiza kitu si sawa na kupoteza muda mtaani. Vyeti visikudanganye .....
Kulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo?Njoo ulinde magodauni ya wahindi. Mshahara ni robo bumu
Kazi ya Upishi? Mtu kasomea ProcurementKuna kazi MBEZI beach mwambie
Fact.....Ni rahisi kubadili kazi kuliko kutafuta kazi,
Umuhimu wa chuo upo, ila baada ya kumaliza chuo sasahiv umuhimu wa kuishi kwanzaKulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo?
Kulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo? Huu usenge ndio maana wazazi wengine wanawazuia watoto wao wasiende Shule/Chuo Bora wafuge Ng'ombe wauze maziwa huu usenge sioUnajua kufanya nini wewe kama wewe....??
Una creativity gani wewe kama wewe....??
Akili tuu kichwani mwako mwanangu.....
Elimu ya Chuo itakusaidia nini ikiwa huna Ajira huna kazi?Umuhimu wa chuo upo, ila baada ya kumaliza chuo sasahiv umuhimu wa kuishi kwanza
Ungeiuliza serikali inayotoa pesa zaidi ya 12m then watu wanabaki mtaani!. Hapa issue sio habari yeye kwenda chuo Bali anawezaje kuyamudu maisha yake nje ya taaluma yake...Kulikua na umuhimu gani wa kwenda Chuo km ushauri huu ndio wanaopewa vijana wanaomaliza Chuo?
Unamaanisha nini unaposema Mwizi? Unafikiria km wote tukiwa Wezi hali tutaishije? Tung'oe yale manondo ya kingo za Daraja la Tanzanite hali itakuaje?Wewe ndo hauna maana mtaani wala siyo elimu, kwa dunia ya sasa ya utandawazi umemaliza chuo na bado unaongea huu ujinga?
Umeshindwa hata kuwa mwizi wa kutumia akili!
Mkuu; bado hujaizungusha barua na cv kwa Nyanda Banka. Huyo hawezi kushindwa. Niamini mimi.Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO
Serikali IPO inasoma comments tuUngeiuliza serikali inayotoa pesa zaidi ya 12m then watu wanabaki mtaani!. Hapa issue sio habari yeye kwenda chuo Bali anawezaje kuyamudu maisha yake nje ya taaluma yake...
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi
Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado
SO WHAT WE GONNA DO