Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Wale wanaotuona sisi wabahili kwa sababu hatuhongi waje watuulize.

Tunapata pesa kwa jasho na damu.

Ndio maana hatutaki kuwa mapunda wa mbususu
 
Umesoma Nini kitu Gani ? Tuanzie hapo
 
Watakwambia hakuna ajuae kesho, kiukweli suala la elimu Tanzania limekaa ki siasa sana. Elimu bora kwa Tanzania ni kusoma na kuandika huko kwingineko ni kupoteza muda.
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi.

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado.

SO WHAT WE GONNA DO
First you should agree to go down to cocroach level. Forget your credentials for at least 5yrs and submit urself to the hoods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…