Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

Sijui ndo mie nna tatizo au laah, kila nikiona vyeti vyangu vya Elimu najiona nimemalizaa kabisaa.

Kuhusu ajira wala sina shida nayo, iwe au isiwe wala sijari hata.

Nweiii pambana, maisha yanataka mchaka mchaka.
 
DSM ndo rahisi kutoboa ukiwa Una fine tune unaweza kufikia lengo.

Huwa nashangaa graduate anakimbilia kijijini na kuacha Ku-hustle DSM .

Sio lazima ule madawa Ila waweza wewe Kuwa ndo hayo madawa yenyewe.

Sky is limit everyday RICH.
Ni rahisi sana kuongea, ila omba yasikukute.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi.

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado.

SO WHAT WE GONNA DO
🤣🤣🤣🤣 Aisee njoo tuu tuendeshe bodaboda mwanawane
 
Mkuu usichague kazi jifunze zaidi ya uwezavyo. Hapa nilazima ufanikiwe
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi.

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado.

SO WHAT WE GONNA DO
Mkuu bora ungekausha tu ufanye research yako mwenyewe. Kuna wabongo wengi ambao hawakusoma kwaiyo wana husuda na waliosoma hili tatizo la ajira linalowakabiri wahitimu kwa ambao hawajasoma ni kama wanapata relief ya moyo wamekaa kabisa standby kusikia mhitimu kalost kimaisha ili wao waanze dhihaka zao ndio hawa watu type ya mbunge yule mssukuma na wafuasi wake mtaani kutwa kuiponda elimu lakini cha kushangaza wana ndugu zao wanasoma na hawawashauri waache shule.
Kwa kukushauri kwanza chunguza kipawa, kipaji au uimara wako upo wapi. Utaweza kujua ilo kwa kuangalia appreciations au adorables unazozipata kutoka kwa watu ukifanya jambo fulani then badilisha iyo kitu kuwa pesa utaitaji muda kidogo minimum approximation inaweza kuwa mwaka mmoja lakini in long run itakuwa na manufaa kwako. Deiwaka mfano saidia fundi, car wash fanya lakini ziwe ni za mpango wa muda mfupi tu.
 
Mkuu umeongea kitu watu waliofeli wanahusda sana kuna mmoja alikua rafiki yangu siku alituma post Moja ya kunizihaki Kutumia tafsida. Aisee niliona kumbe sio rafiki Nika mkacha Hadi sasa
 
Ni husda tu za kufeli au kushindwa kufika ngazi ya juu kielemu kama suala ni mafanikio mbona kundi kubwa zaidi la wasiosoma ndio lina hali mbaya mtaani kwanini ushauri wasiwape hao vilaza wenzao badala yake wanaangaika kuwafundisha maisha wasomi? Kama elimu haina ishu kwanini hawawashauri ndugu zao waache shule?, kama wao wanayajua maisha mbona hawawapi ndugu zao izo motivational speechs na dhihaka wanazowapa wasomi?
 
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi.

Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado.

SO WHAT WE GONNA DO
Bwana mdogo, una ujuzi wowote au ubunifu wowote? hivyo viwili peke yake ndio vitakavyo kusaidia. Dunia imebadilika.
 
Peleka cv ofisi za chama pia
#mama anatosha kutuvusha
 
Bwana mdogo, una ujuzi wowote au ubunifu wowote? hivyo viwili peke yake ndio vitakavyo kusaidia. Dunia imebadilika.
Kupata platform ya kuonyesha huo ujuzi au ubunifu wako ili upate hela mtiti wake nao ni kama wa kutafuta ajira tu. Bongo sera za kiuchumi sio wezeshi kwa vijana kutoboa as long as mfumo upo ivyo mafanikio katika angle yoyote lazima yawe ya kulenga kwa manati
 
Back
Top Bottom