Nimekubali kuachwa tena

Mimi ningekuwa wewe ninge mblock siku hiyo hiyo aliyoanza kuandika status zake za vijembe ,, Au Kama nisinge mblock Basi ningeacha kuwasiliana nae mazima
 
Wewe sio mvuvi.Uvuvi unahitaji uvumilivu.Yaani wewe chambo imetikiswa tu unavuta ndoano.
Hata kuku anapewa mchele anakula anashiba halafu anadakwa analiwa na wali.
Wacha pupa.
Muda mwingine ni kusubiri meli airport ndugu, kuna kuvumilia na kupoteza muda, ye hayuko interested nami so achague wengine walio alpha males
 
Reactions: Tui
Namba sifuti[emoji28] nataka aone jinsi maisha inasonga hata bila uwepo wake
 
Mimi ningekuwa wewe ninge mblock siku hiyo hiyo aliyoanza kuandika status zake za vijembe ,, Au Kama nisinge mblock Basi ningeacha kuwasiliana nae mazima
Sijataka kumblock Ili aone vile maisha yanaenda smooth bila yeye na sinaga status za kuhuzunika maisha yangu yote niwe kwa shida au Tatizo gani, ngoja atafutiwe mwenzake tu
 
Seems bado unampenda Sana uyo mwanamke,
Ndo maana unatumia Nguvu kubwa Sana kuelezea ayo mapungufu yake sahv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…