Nimekubali kuachwa tena

Nimekubali kuachwa tena

Mimi ningekuwa wewe ninge mblock siku hiyo hiyo aliyoanza kuandika status zake za vijembe ,, Au Kama nisinge mblock Basi ningeacha kuwasiliana nae mazima
Nguvu anazipatia wapi !!
soma between lines utajua mwanamke kashamjua jamaa ni dhaifu ndio maana anafanya anavyotaka, au huoni kuna mabadilishano ya nafasi katika mahusiano.

Mwanamke ndio ana kauli na kuyaendesha mahusiano anavyotaka kwa hiyo usipoteze nguvu kutoa ushauri kwa mtu aliyeelemewa na huba maana unayomuambia akili yake ishamuambia kitambo ila haifuati sababu hisia za mapenzi zimemzidia. Let him learn in a hard ways, that's the only way out brother
 
Sijataka kumblock Ili aone vile maisha yanaenda smooth bila yeye na sinaga status za kuhuzunika maisha yangu yote niwe kwa shida au Tatizo gani, ngoja atafutiwe mwenzake tu
Tafuta hata picha ya mwanamke mwingine mzuri Sana Kisha kesho ipost kwa status halafu kausha , fanya kumpost kwa picha zake tofauti hata Mara 5 kwa week ,then thanks me later
 
It might be so, kanizidi umri na pia mwanamke anakomaa akili kuzidi mwanamme even agemates so kachagua fungu jemaa piaa
Mi nadhani sio suala ya umri,
Ni suala la userious wako ktk mahusiano na kutekeleza wajibu wako Kama mwanaume.
 
Seems bado unampenda Sana uyo mwanamke,
Ndo maana unatumia Nguvu kubwa Sana kuelezea ayo mapungufu yake sahv.
Big no sikumpenda nivile nlimuonea huruma na nikajiapiaa labda ntajifunza kumpenda
 
Wahenga husema,
"Ukitaka kujua ulkua unadate na mtu wa namna gani, sikiliza Maneno yake mtakapoachana" [emoji4]
Mimi huwa na wageuza kuwa washikaji zangu na hii mbinu imenisaidia Sana kujua kuwa wanawake baadhi Ni nyoka ,,

Yaani unakuta kwa kuwa Amekuwa mshikaji ana jisahau nakuni hadithia story zote jnsi alivyokuwa ana cheat tulipokua pamoja ,, ukiwajua gals Raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nguvu anazipatia wapi !!
soma between lines utajua mwanamke kashamjua jamaa ni dhaifu ndio maana anafanya anavyotaka, au huoni kuna mabadilishano ya nafasi katika mahusiano.

Mwanamke ndio ana kauli na kuyaendesha mahusiano anavyotaka kwa hiyo usipoteze nguvu kutoa ushauri kwa mtu aliyeelemewa na huba maana unayomuambia akili yake ishamuambia kitambo ila haifuati sababu hisia za mapenzi zimemzidia. Let him learn in a hard ways, that's the only way out brother
I will come with a feedback,
 
Huu Uzi Kuna vitu vingi nataman kucomment ila nahs ntachafua Hali ya hewa humu.

Mtoa mada Kama uko willing na una kifua Cha kiume, Cha kupokea kila comment NIPE ruksa nitiririke tafadhar[emoji4][emoji120]
 
Mimi huwa na wageuza kuwa washikaji zangu na hii mbinu imenisaidia Sana kujua kuwa wanawake baadhi Ni nyoka ,,

Yaani unakuta kwa kuwa Amekuwa mshikaji ana jisahau nakuni hadithia story zote jnsi alivyokuwa ana cheat tulipokua pamoja ,, ukiwajua gals Raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Huo ndo uanaume Sasa,
Unayajua Hadi yaliyojificha[emoji4]
 
Sijataka kumblock Ili aone vile maisha yanaenda smooth bila yeye na sinaga status za kuhuzunika maisha yangu yote niwe kwa shida au Tatizo gani, ngoja atafutiwe mwenzake tu
Mkuu akiamua kurudi utampokea Tu, uzi wako mzima ni kama unatoa sababu za kuishawishi nafsi yako kuwa hakustahili, upo sawa kabisaaa ila hiyo ni dalili nyingine kuwa bado upo deep kwake,
the moment utayokaa na kuona hujali kuhusu ubora au madhaifu yake, hapo ndio utaweza kumove on
 
Nguvu anazipatia wapi !!
soma between lines utajua mwanamke kashamjua jamaa ni dhaifu ndio maana anafanya anavyotaka, au huoni kuna mabadilishano ya nafasi katika mahusiano.

Mwanamke ndio ana kauli na kuyaendesha mahusiano anavyotaka kwa hiyo usipoteze nguvu kutoa ushauri kwa mtu aliyeelemewa na huba maana unayomuambia akili yake ishamuambia kitambo ila haifuati sababu hisia za mapenzi zimemzidia. Let him learn in a hard ways, that's the only way out brother
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] you nailed it,

Habari ya masiku
 
Hajala ata Mia yako?
Hayo mahusiano yako ulikua unayaendeshaje mkuu[emoji848]
Mkuu yeye anasehem anafanya kazi so hizi petty expenses sio issue kwake, SIWEZI hudumia mwanamke ambaye Sina amani nae na piaa ye ni aina fulan ya wanawake wanopenda ku clear bills on their own ni kama wale wadada wanaotaka 50 50
 
Back
Top Bottom