Nimekubali kuachwa tena

Nimekubali kuachwa tena

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] you nailed it,

Habari ya masiku
😁😁 nzuri mkuu, Leo naona night umepata muda wa kututembelea
 
Tafuta hata picha ya mwanamke mwingine mzuri Sana Kisha kesho ipost kwa status halafu kausha , fanya kumpost kwa picha zake tofauti hata Mara 5 kwa week ,then thanks me later
Sina mazoea ya kupost wadada kwa status zangu , anyway utantumia yako niipost mkuu[emoji1][emoji1] sorry kama sio Female
 
Mkuu yeye anasehem anafanya kazi so hizi petty expenses sio issue kwake, SIWEZI hudumia mwanamke ambaye Sina amani nae na piaa ye ni aina fulan ya wanawake wanopenda ku clear bills on their own ni kama wale wadada wanaotaka 50 50
Maana ake wee ulikua unadanga kwa uyo mwanamke,

Akiclear bill na wewe unabaki umeshangaa, unachekelea TU unaona ndio maisha au? [emoji848]
 
Sina mazoea ya kupost wadada kwa status zangu , anyway utantumia yako niipost mkuu[emoji1][emoji1] sorry kama sio Female
I'm a man ,,shauri yako changamka , wanawake hawapendi watu waliozubaa zubaa ,hata Kama unpole jitahdi kuhakikisha masilahi yako hayaguswi kuwa mkali pale na uwe mwepesi wa ku-take action pale unapoona heshima yako inataka kuchezewa
 
Huu Uzi Kuna vitu vingi nataman kucomment ila nahs ntachafua Hali ya hewa humu.

Mtoa mada Kama uko willing na una kifua Cha kiume, Cha kupokea kila comment NIPE ruksa nitiririke tafadhar[emoji4][emoji120]
Go on kaka
 
Mkuu akiamua kurudi utampokea Tu, uzi wako mzima ni kama unatoa sababu za kuishawishi nafsi yako kuwa hakustahili, upo sawa kabisaaa ila hiyo ni dalili nyingine kuwa bado upo deep kwake,
the moment utayokaa na kuona hujali kuhusu ubora au madhaifu yake, hapo ndio utaweza kumove on
Sawa kaka that's ur views
 
Maana ake wee ulikua unadanga kwa uyo mwanamke,

Akiclear bill na wewe unabaki umeshangaa, unachekelea TU unaona ndio maisha au? [emoji848]
Hapana kaka sio hivyo ila tu kujua ye ni mtu wa kupenda kujilipiaaa mambo yake so huwezi mlazimishaa
 
Mtoa mada una matatizo makubwa Sana kimahusiano.

Na huenda Wengi humu wameshayaona ila wameamua kuuchuna tu ili wasikukwaze au kukuharibia uzi wako.

Kwa maelezo yako mwnyw Umeandika una umri wa miaka 24,

ila maelezo yako ni Kama kijana alietoka balehe juzi, yaani miaka 18.

Ntafafanua zaidi[emoji4]
 
I'm a man ,,shauri yako changamka , wanawake hawapendi watu waliozubaa zubaa ,hata Kama unpole jitahdi kuhakikisha masilahi yako hayaguswi kuwa mkali pale na uwe mwepesi wa ku-take action pale unapoona heshima yako inataka kuchezewa
Asante big bro[emoji120][emoji120]
 
Mtoa mada una matatizo makubwa Sana kimahusiano.

Na huenda Wengi humu wameshayaona ila wameamua kuuchuna tu ili wasikukwaze au kukuharibia uzi wako.

Kwa maelezo yako mwnyw Umeandika una umri wa miaka 24,

ila maelezo yako ni Kama kijana alietoka balehe juzi, yaani miaka 18.

Ntafafanua zaidi[emoji4]
Endelea kaka
 
Back
Top Bottom