Nimekubali kuachwa tena

Nimekubali kuachwa tena

Tusipotezeane muda,
uyu Mtoa mada Ni SUPER Marioo,

Ntatoa sababu zifuatazo

1. UNATABIA ZA KUPENDA MSELELEKO au GANDA LA NDIZI.
yaan Huwajibiki kabisa kwa mwanamke wako.
"....Nkakaona kajinga.
Hajala hata 100 yangu..."

Mtoa mada Unaishije na mwanamke hata Mia yako Hali, are you serious [emoji848]

2. UNA TABIA ZA UCHAWA CHAWA
yaani ni Kijana wa party after party afu Bill ikija uchangii,

[emoji117]"...navopenda shughuli hivi ntaja mkwaza mtu au namwambia apeleke Hela ya mchango wa jambo fulan akapiga panga nije kumtia makofi Bure....."

[emoji117]" utamkuta status kapost meme, mwanamme tujjfunze kuwasaidia wapenzi wetu waafikie malengo Yao kuliko kudemand sex tu ...."

3. UNA TABIA YA KUPENDA KULELEWA.
yaani Unadate na waliokuzidi umri na kipato, kwa kwasababu tu ili upate kukwepa gharama za maisha.

[emoji117]...This girl is almost 3 years older than me so she is approaching her 30.."

[emoji117]"....Binti anaonekana anakaumimi au kauchoyo flani hivi as per mie na nlivolelewa naona hizo tabia siwezi endana nae.."

[emoji117]"....yeye anakasehem anaingiza Senti 5 sio haba.."

4. UNA TABIA YA GUBU,
yaani unapenda kutoa excuse za kubumba kwa matatizo yako mwenyewe.

Mf 01: Kuna mahali unasema kinachomuweka na wewe kwny mahusiano Ni kuhitaji mtoto na ndoa na wewe, wkt ukichunguza mwanamke wako anahitaji usimame Kama mwanaume.

Mf 02: mwishoni unajisifia mwanamke hajawai kula hata Mia yako, ila Kuna mahali unalalamika mwanamke anakuchoyo na kaubinafsi. Wkt Katikati unatwambia yeye ndio huwa anaclear bills zote.

5.UNAPEMDA MAHUSIANO YA KUGANDANA KAMA WATOTO WA SEKONDARI.

[emoji117]".....on contrary mie ndo nimekuwa nagonganinsha sms za nakupenda, good night, good morning but she didn't respond..."

[emoji117]"....nshasahauu mara ya mwisho nimeambiwa napendwa lini..."

6. UNAPENDA KUPEWA UMUHIMU USIO KUA NAO

Mf 01: Umeomba mechi umekutana na status ya kijembe.
Ndio alikua sahii maana Unachojua ni kuomba mechi TU ila hata Ela ya sabuni hutaki kutoa, unategemea atakuheshimu vipi.

Mf02: Kuna mahali unalalamika kakuita mdogo wake.
Alikua sahii Sana maana anaishi na wewe Kama mtu na mdg wake, sio mtu na mwanaume wake.
Yaani huwajibiki Kama mwanaume, Ni tegemezi Kama madogo zake uko vijijini.

Mf 03: Kuna mahali unalalamika hakwambii anakupenda, hajibu sms zako.
Mwanamke Yuko sahii 100% , yaani aache kazi zinazomuingizia kipato ahangaike kujibu sms zako na kukwambia anakupenda kila Mara, kwa kipi Sasa cha muhimu unachoongeza kwenye maisha yake?[emoji848]

Kwa hizo fact 6 hapo juu,
Mtoa mada wewe Ni 100% pure MARIOO.
Hapo tu kwenye number moja!huwa unanifurahisha Sana sijui kabila gani wewe mtu!
 
[emoji120] siwezi Pinga asilimia 100 wala kukubali asilimia 100 yote yanaweza kuwa sahihi.

I will prove u wrong in a time to come ,just wait[emoji1]
 
Hivi wanawake huwa mnafikira Nini kudate na mtu Kama kina mtoa mada[emoji848]

Unakua na mtu hachangii chochote kwny maisha yako[emoji848]

Unakua na mtu anakupigia pigia Simu ovyo kila Mara[emoji848]

Unakua na mtu kila mara anataka umwambie unampenda[emoji848]

Unakua na mtu kila shughuli anataka awepo[emoji848]

Unakua na mtu umemzidi umri mpk upeo wa kufikiria[emoji848]

Hivi huwa mnafikira Nini nyie wanawake[emoji848]

AU HUWA MNAROGWA?[emoji848]
[emoji1][emoji1] mkuu sijatoa code zote humu kuficha privacy wa mtoa mada na mtajwa, anyway u can believe hivo uaminivyo
 
na hapo akiulizwa yy kuhusu ww atatoa sababu nyingi kuliko hata ww,

ndo maana mzee wangu huwa anakataa kusikiliza upande mmoja

tunaweza kumuuliza huyo manzi yako juu ya haya uliyoyasema akajibu kwa kifupi tu

"nampenda sana ila hanifikishi kileleni"
 
DeepPond big brother ngoja nikudadavulie kidogo uweze kuielewa kitu.

Kuna baadhi ya code sijaweka kuhide ID yangu na mhusikaa though ye sio mdau wa JF kabisaa.

Iko hivi kumbuka haya MAHUSIANO yetu hayana hata miezi miwili, ye anakaa kwao mie nakaa kwetu ambako nimbali kidogo nakwao ,so kuonana ni mara chache sana, tumeonana kama mara 2 hivi kwa hii miezi miwili.

Mtu Hadi unaamua Nya kwenye biashara nibaada yakujiridhisha na mwenendo wa hio biashara, huwezi tu ukawekeza resources zako eti kutakaa kuonekana umeiellewa sana hio biashara au vipi, mie kutokuwekeza kwake ni baada ya mara ya kwanza kufanya hivo na akaja nikaushia tu bila neno loloteee hivo hadi uhusiano ukafa.

Sasa kaka mkuu hapo ungekuwa wewe kwa hii scenario ungeanza tu ukurupuke na kuanza kuhudumia???? Na pili sie sio watu wa kuonana mara kwa mara kusema labda tumetoka sana out yeye ndo aka clear bills zote. Labda lugha nlotumia inaweza kuwa kama inamu offend kwa namna flan lkn issue ni kujua nn kimepelekea mie kufanya hivi. Unaweza niona dhaifu nayo pia ni sawa kwa perception zako siwezi kataa.

Na kuhusu umarioo, katika MAHUSIANO yangu yote sijawahi kula Hela ya mwanamke ila wao zangu wametumia and I don't brag about this, so mie kutokutaka kutumia rasilimali zangu kwake ni makusudi kwa kile nlichokipata awali.
 
Mkuu 911 tunaweza mfanya kitu mbaya huyo manzi are ready
 
[emoji1][emoji1] mkuu sijatoa code zote humu kuficha privacy wa mtoa mada na mtajwa, anyway u can believe hivo uaminivyo
Kupitia Uzi wako,
Umetoa code zako Mwnyw tukujue wee Ni mtu wa namna gani.

Ndo Maana wkt nachangia nakuita marioo,
nilikua naquote kabisa misemo yako Kwny Uzi husika.

Haihitaji degree kabisa kujua pale kwa yule mwanamke ulikua unalelewa[emoji4]
 
Tusipotezeane muda,
uyu Mtoa mada Ni SUPER Marioo,

Ntatoa sababu zifuatazo

1. UNATABIA ZA KUPENDA MSELELEKO au GANDA LA NDIZI.
yaan Huwajibiki kabisa kwa mwanamke wako.
"....Nkakaona kajinga.
Hajala hata 100 yangu..."

Mtoa mada Unaishije na mwanamke hata Mia yako Hali, are you serious [emoji848]

2. UNA TABIA ZA UCHAWA CHAWA
yaani ni Kijana wa party after party afu Bill ikija uchangii,

[emoji117]"...navopenda shughuli hivi ntaja mkwaza mtu au namwambia apeleke Hela ya mchango wa jambo fulan akapiga panga nije kumtia makofi Bure....."

[emoji117]" utamkuta status kapost meme, mwanamme tujjfunze kuwasaidia wapenzi wetu waafikie malengo Yao kuliko kudemand sex tu ...."

3. UNA TABIA YA KUPENDA KULELEWA.
yaani Unadate na waliokuzidi umri na kipato, kwa kwasababu tu ili upate kukwepa gharama za maisha.

[emoji117]...This girl is almost 3 years older than me so she is approaching her 30.."

[emoji117]"....Binti anaonekana anakaumimi au kauchoyo flani hivi as per mie na nlivolelewa naona hizo tabia siwezi endana nae.."

[emoji117]"....yeye anakasehem anaingiza Senti 5 sio haba.."

4. UNA TABIA YA GUBU,
yaani unapenda kutoa excuse za kubumba kwa matatizo yako mwenyewe.

Mf 01: Kuna mahali unasema kinachomuweka na wewe kwny mahusiano Ni kuhitaji mtoto na ndoa na wewe, wkt ukichunguza mwanamke wako anahitaji usimame Kama mwanaume.

Mf 02: mwishoni unajisifia mwanamke hajawai kula hata Mia yako, ila Kuna mahali unalalamika mwanamke anakuchoyo na kaubinafsi. Wkt Katikati unatwambia yeye ndio huwa anaclear bills zote.

5.UNAPEMDA MAHUSIANO YA KUGANDANA KAMA WATOTO WA SEKONDARI.

[emoji117]".....on contrary mie ndo nimekuwa nagonganinsha sms za nakupenda, good night, good morning but she didn't respond..."

[emoji117]"....nshasahauu mara ya mwisho nimeambiwa napendwa lini..."

6. UNAPENDA KUPEWA UMUHIMU USIO KUA NAO

Mf 01: Umeomba mechi umekutana na status ya kijembe.
Ndio alikua sahii maana Unachojua ni kuomba mechi TU ila hata Ela ya sabuni hutaki kutoa, unategemea atakuheshimu vipi.

Mf02: Kuna mahali unalalamika kakuita mdogo wake.
Alikua sahii Sana maana anaishi na wewe Kama mtu na mdg wake, sio mtu na mwanaume wake.
Yaani huwajibiki Kama mwanaume, Ni tegemezi Kama madogo zake uko vijijini.

Mf 03: Kuna mahali unalalamika hakwambii anakupenda, hajibu sms zako.
Mwanamke Yuko sahii 100% , yaani aache kazi zinazomuingizia kipato ahangaike kujibu sms zako na kukwambia anakupenda kila Mara, kwa kipi Sasa cha muhimu unachoongeza kwenye maisha yake?[emoji848]

Kwa hizo fact 6 hapo juu,
Mtoa mada wewe Ni 100% pure MARIOO.
"Mimi ni nani hata nibishane na chair "imepita hiyo
 
Na hio issue ya kumtafuta yeye mara kwa mara, kuna kipindi ashawai nikaushia kuja uliza anasema sababu anahisi mie Niko busy sana so anaona usumbufu kunichekicheki mara kwa mara, so mie ndio nikawa namcheki Ili kutoa ilo gepu la kuonekana Niko busy sana ,je HIO NAYO NI VIBAYA KUMJULIA HALI mpenzi wako, na ucpofanya hivo unaonekana hujai, mie Kosa langu liko wapi hapoo????

Suala la kusema nataka kuambiwa napendwa sidhani kama nakosea lazima ujiridhishe mtu kama hawezi kukwambia anakupenda inapita hata weeks kadhaa while kuna ladies out there sio wapenzi wako wanakuambiwa ,haimake sense japo sidemand kuambiwa hivo lakin sie ni WAPENZI lazma communication yetu ionekane ni two people dating.

Kuhusu Gubu sio mtu wa hivo, umekosea sana hapo kaka.

Sie mtu wa sherehe sana ila ni mtu wa matukio nasidhani kama nikosa kushiriki issue za kijamii inapobidi. DeepPond
 
Back
Top Bottom