The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #41
Call 911 for assistance [emoji23][emoji23] ,siteseki mkuu ila namuonea huruma mambo yakibuma atarudi kuntilia huruma inboxKuna watu bado mapenzi yanawatesa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Call 911 for assistance [emoji23][emoji23] ,siteseki mkuu ila namuonea huruma mambo yakibuma atarudi kuntilia huruma inboxKuna watu bado mapenzi yanawatesa tu
Mwache atoe sumu awe huruSeems bado unampenda Sana uyo mwanamke,
Ndo maana unatumia Nguvu kubwa Sana kuelezea ayo mapungufu yake sahv.
Noted [emoji120]Wahenga husema,
"Ukitaka kujua ulkua unadate na mtu wa namna gani, sikiliza Maneno yake mtakapoachana" [emoji4]
Nguvu anazipatia wapi !!Mimi ningekuwa wewe ninge mblock siku hiyo hiyo aliyoanza kuandika status zake za vijembe ,, Au Kama nisinge mblock Basi ningeacha kuwasiliana nae mazima
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hajala hata 100 yangu, so at this point I have reached END OF THE ROAD. .
Umri wako bado sana na utakutana mazito na sio chai kijana wangu.Hayajakukuta mkuuu[emoji3][emoji3]
Tafuta hata picha ya mwanamke mwingine mzuri Sana Kisha kesho ipost kwa status halafu kausha , fanya kumpost kwa picha zake tofauti hata Mara 5 kwa week ,then thanks me laterSijataka kumblock Ili aone vile maisha yanaenda smooth bila yeye na sinaga status za kuhuzunika maisha yangu yote niwe kwa shida au Tatizo gani, ngoja atafutiwe mwenzake tu
Mi nadhani sio suala ya umri,It might be so, kanizidi umri na pia mwanamke anakomaa akili kuzidi mwanamme even agemates so kachagua fungu jemaa piaa
Big no sikumpenda nivile nlimuonea huruma na nikajiapiaa labda ntajifunza kumpendaSeems bado unampenda Sana uyo mwanamke,
Ndo maana unatumia Nguvu kubwa Sana kuelezea ayo mapungufu yake sahv.
Mimi huwa na wageuza kuwa washikaji zangu na hii mbinu imenisaidia Sana kujua kuwa wanawake baadhi Ni nyoka ,,Wahenga husema,
"Ukitaka kujua ulkua unadate na mtu wa namna gani, sikiliza Maneno yake mtakapoachana" [emoji4]
I will come with a feedback,Nguvu anazipatia wapi !!
soma between lines utajua mwanamke kashamjua jamaa ni dhaifu ndio maana anafanya anavyotaka, au huoni kuna mabadilishano ya nafasi katika mahusiano.
Mwanamke ndio ana kauli na kuyaendesha mahusiano anavyotaka kwa hiyo usipoteze nguvu kutoa ushauri kwa mtu aliyeelemewa na huba maana unayomuambia akili yake ishamuambia kitambo ila haifuati sababu hisia za mapenzi zimemzidia. Let him learn in a hard ways, that's the only way out brother
Huo ndo uanaume Sasa,Mimi huwa na wageuza kuwa washikaji zangu na hii mbinu imenisaidia Sana kujua kuwa wanawake baadhi Ni nyoka ,,
Yaani unakuta kwa kuwa Amekuwa mshikaji ana jisahau nakuni hadithia story zote jnsi alivyokuwa ana cheat tulipokua pamoja ,, ukiwajua gals Raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu akiamua kurudi utampokea Tu, uzi wako mzima ni kama unatoa sababu za kuishawishi nafsi yako kuwa hakustahili, upo sawa kabisaaa ila hiyo ni dalili nyingine kuwa bado upo deep kwake,Sijataka kumblock Ili aone vile maisha yanaenda smooth bila yeye na sinaga status za kuhuzunika maisha yangu yote niwe kwa shida au Tatizo gani, ngoja atafutiwe mwenzake tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] you nailed it,Nguvu anazipatia wapi !!
soma between lines utajua mwanamke kashamjua jamaa ni dhaifu ndio maana anafanya anavyotaka, au huoni kuna mabadilishano ya nafasi katika mahusiano.
Mwanamke ndio ana kauli na kuyaendesha mahusiano anavyotaka kwa hiyo usipoteze nguvu kutoa ushauri kwa mtu aliyeelemewa na huba maana unayomuambia akili yake ishamuambia kitambo ila haifuati sababu hisia za mapenzi zimemzidia. Let him learn in a hard ways, that's the only way out brother
Mkuu yeye anasehem anafanya kazi so hizi petty expenses sio issue kwake, SIWEZI hudumia mwanamke ambaye Sina amani nae na piaa ye ni aina fulan ya wanawake wanopenda ku clear bills on their own ni kama wale wadada wanaotaka 50 50Hajala ata Mia yako?
Hayo mahusiano yako ulikua unayaendeshaje mkuu[emoji848]
Labdaa kuna ukweli mkuuu [emoji28]Umri wako bado sana na utakutana mazito na sio chai kijana wangu.
Wanawake hujawajua kabisa kabisa
Kabisa inataka uwe umevurugwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Huo ndo uanaume Sasa,
Unayajua Hadi yaliyojificha[emoji4]