Walishafika tangu Jana mchana,Jana walikuwa 25Km away from Kiev ,Leo wame advance kidogo au???[emoji28]
Hii ngoma ungekuwa unaicheza wewe ungejuaa jinsi midundo inavoenda[emoji28][emoji28], sawa ila sitofata ushauri wako wa kumrudiaHonestly,
Japokua story yako Ni ya upande mmoja.
(Yaan Sijamsikiliza mwanamke)
Siwez kukuficha,
umejikaanga mwenyewe, kwa mafuta yako mwenyewe
Mwanamke wako Yuko 100% true,
Na kingine cha kukushaur, japo sio cha lazma sana.
Kama Unaweza,
mrudie haraka Sana uyo mwanamke wako.
She's a very good wife material kwa kizazi hiki tulichonacho Sasa,
Nakuhakikishia mkuu,
Uyo mwanamke akija KUPATA mtu anayeweza kufunika Yale madhaifu yako kwake, Utaona mabadiliko ndani ya MDA mfupi sana.
TRUST ME[emoji4]
Ngoja niingiee Twitter nicheki,Walishafika tangu Jana mchana,
Kuna vinu uko vinarushwa Ni balaa na nusu.
Kyv inachakazwa.
Mpk Zelensky mwnyw leo hajaonekana kabisa kwny social media, Sijui atakua kajificha handaki gani sahv.
Mkuu mbona hii Ni ramli chonganishi Sasa sisi wa 35 tusitegemee ndoaKubali aiseh huyo sio mwanamke tafuta unaemzidi umri....na akifikisha 31 kuolewa ndo asahau
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu mbona hii Ni ramli chonganishi Sasa sisi wa 35 tusitegemee ndoa
Nimeshangaa tu lugha yake..radarUnataka umshushie vitu vya Putin?[emoji4]
Sawa mkuuNimekubali ashinde ila asije Lia liaa badaee hapa.
Nianze kwa kucheka kwanza.
Hii stori naiandika kwa lugha isiyo Rasmi, lugha za kiujana ujana.
Wayback nlikuwa na mamiloo, alinipenda ye then mie nikausoma mchezo tukawa wapenzi. Tumeenda miezi kadhaa penzi likaanza kumiss, nikajaribu boost boost haikuwa ridhiki likafa Baada ya kukaushiana tu kila mtu akasepa na zake. Hii ni mwaka jana.
Mwaka huu mwanzoni wa mwezi Feb Binti akawa na shida na mie ndo ninaeweza kumsaidia, ilipigwa simu ya jamaa yangu na nlivopokea nkaisikia sauti yake, na kumtaja jina lake akabaki anashangaa nimejuaje kama ni yeye, but hivo naijua sauti yake na namna yake ya kuongea, akaeleza shida yake, nikamsaidia.
From that moment onwards, tukaanza wasiliana Tena kama zamani lakini sikuwa namzingatia sana maana ashasepa awali bila kuaga namie sikuwa bothered kuulizia nn shida.
This time kaja sikutaka muuliza what happened in our last relationship, anakuja na maswali ya kuniuliza indirectly kama nampenzi now namie jibu langu Niko single ili nijuee her next move. Kaja na bra braa kibaooo tu mie namsomea radar, penzi limeenda kiasi nikaanza ona red flags zisizoeleweka.
This girl is almost 3 years older than me so she is approaching her 30, Yuko desperate sana na mtoto but nyumbani anaogopa coz kwao ni familia flani hivi za dini dini sana.
Binti hayuko romantic kabisaa ,chatting zake ni boring hazikupi mood ya kuendelea kuchat nae, hanaga story sana BUT she is real a wife material kwa tabia zake, SHIDA inakuja Binti anaonekana anakaumimi au kauchoyo flani hivi as per mie na nlivolelewa naona hizo tabia siwezi endana naye
Mosi, hapendi kujihusisha na mambo ya kijamii, yeye anakasehem anaingiza Senti 5 sio haba, Kuna siku tunapiga story seriously ananambia ye hawezi hata siku Moja kuchangia sherehe yeyote Ile na sio kuwa hana Hela au laah hata akiwa nazo hatofanya hivo naye hataki sherehe yetu Ichangiwe na watu.
Duuúh nikaona hii Kali mie navopenda shughuli hivi ntaja mkwaza mtu au namwambia apeleke Hela ya mchango wa jambo fulan akapiga panga nije kumtia makofi Bure.
Pili, kuna siku nimemtext ... Hello my love kaja kunambiaa unajua mie dadako, nikaona huyu kaanza kutokuheshimu, nikamjibu ... So Then hakujibuu. Kakaa kimya we mie nikabidi nijishushe nikamtext umeshindajeee etc .
Tatu, nshasahauu mara ya mwisho nimeambiwa napendwa lini, ikumbukwe ye ndokanitaka namie kwa huruma zangu nikamfungulia lango Moja wazi la moyo ila akafikia tu seburen[emoji28][emoji28], on contrary mie ndo nimekuwa nagonganinsha sms za nakupenda, good night, good morning but she didn't respond na anaview status zangu nakupost shit zake. Leo kanipostia ... Vile unaenda kuomba msamaha alafu unakuta tayati Yuko kwa MAHUSIANO mapya.
Nne, ana ego ya kijinga kwake samahani ni ngumu kutamka I wonder if she becomes my wife huko nyumban itakuwaje au ni vile ananiona mdogo kwake.
Na kalivo kashenzi ukikaomba mchezo kanachekeaa tu au ndo hakajibu sms mazima utamkuta status kapost meme.. mwanamme tujjfunze kuwasaidia wapenzi wetu waafikie malengo Yao kuliko kudemand sex tu.
Nkakaona kajinga. Hajala hata 100 yangu, so at this point I have reached END OF THE ROAD. I have considered it as a Bad debts , not expecting to recover it.
Only those two failed attempts zimemtosha.
NIMEKUBALI KUACHWA.
Hivi wanawake huwa mnafikira Nini kudate na mtu Kama kina mtoa mada[emoji848]
Unakua na mtu hachangii chochote kwny maisha yako[emoji848]
Unakua na mtu anakupigia pigia Simu ovyo kila Mara[emoji848]
Unakua na mtu kila mara anataka umwambie unampenda[emoji848]
Unakua na mtu kila shughuli anataka awepo[emoji848]
Unakua na mtu umemzidi umri mpk upeo wa kufikiria[emoji848]
Hivi huwa mnafikira Nini nyie wanawake[emoji848]
AU HUWA MNAROGWA?[emoji848]
Umebloku faster San kabla ajaanza kusifiwaTusipotezeane muda,
uyu Mtoa mada Ni SUPER Marioo,
Ntatoa sababu zifuatazo
repeat man down dadadek!!Man Down
We acha tuu[emoji23][emoji23]Nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulivoandika natamani ungetuma voice note[emoji23][emoji23][emoji119]
Asante sana chief[emoji120][emoji120][emoji28]Uko vizuri kwa uchambuzi mkuu,yaani umenikumbusha wahariri wa magazeti ya Mzalendo na Mfanyakazi,Pia mwalimu wangu wa fasihi alivyokua anachambua kipengele kwa kipengele,Hongera sana
[emoji1][emoji1][emoji1]daaah sawa mkuuMi nakushauri utafute aliekuzidi miaka 20 ili akuone kama mtoto wake kabisa,hapo utakula mema ya nchi na hataomba hata mia yako,kina mama wana huruma sana hasa linapokuja swala la mtoto wake.
[emoji1][emoji1]ngoja nikituliaa nijibu ipasavyo sms yake inavitu vingi vya kupotoshaaUmebloku faster San kabla ajaanza kusifiwa
Zote zangu chiefAnadhani aki-post atanishtua
Asalaam, Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo. Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha. Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa...www.jamiiforums.com Ana maana gani huyu Binti?
Shikamoni, habarini Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa. Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu Binti ni fresher nikaona sio mbaya nikijuana nae niweke urafiki, niongeze idadi ya marafiki wa...www.jamiiforums.com Hizi post zote ni zake au!?Nimekataliwa kisa ni mwanachuo
Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...www.jamiiforums.com