Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi,
Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka nikaona sasa hii itakuwa dharau na ukizingatia ni limaza flani lina mzigo wa haja nikaona ngoja nilitupie vocal.
Aisee aikupita hata siku nikapigwa mzinga wa laki😀😀 aisee mpaka hamu ya kuichakata mbususu yake imeisha. Japo ananipigia sana cm kunijulia hali ila nafupisha story na sometime sipokei kabisa.
Najua hapa natengenezewa mazingira ili nipigwe vizuri.
Japo ni kazi ya kwenda ila kupigwa laki kwa ajili ya kutafuta utelezi usawa huu siwezi.
Pia soma: Mrejesho: Kanifukuza ndani