kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Mm Kuna huyo nlishawahi kumkula hapo majuzi last year, off course Ni mzuri, tatzo anaomba omba Sana hela, last time akanikopa, nikampa makusudi ili ashindwe kunilipa mazoea yaishe,,,asa yeye akatengeneza mazingira ya kumkula Tena ili tumalizane, sikutaka kabisa,,,,
Tukawa tumepotezana flani hivi, juzi ananipigia ooh, nimekwama Kodi niongezee 180k nilipe , njoo niletee nyumbn, alivo mjinga alitaka nimpelekee anipe mzigo tumalizane,,, ! nilimjibu shortly "kumbuka nakudai" hajanifuta Tena ! Wajinga Sana Hawa!