Kuna manzi nilikuwa nafukuzia tokea mwaka jana Jan. mwezi wa sita mwaka huu akaniomba aje kwangu kunisalimia
Nikasema yes Akaja akaniomba 170,000 nikamchomolea akaanza kulia basi nikaona isiwe tabu nikampa laki kwa mkopo akasema atanirudishia mwezi huu wa saba mwanzoni. Baada ya kumpa iyo laki akaanza kuja gheto basi nami nikaanza kumla but nikimla nampa vijisenti, chakushangaza akanoga kaanza kuwaonea wivu marafiki zangu wa kike nikimpigia simu anataka tuongee mpaka salio likate. Nikaona mapenzi yakitoto ila na baridi hii nikaona nisimpige chini kwanza.
Mwezi nilimkumbushia kuhusu deni langu akasema nilimpa kama zawadi[emoji23][emoji23] hii manzi ntarekodi video niwape conekisheni[emoji23][emoji23]