Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

Kuna manzi nilikuwa nafukuzia tokea mwaka jana Jan. mwezi wa sita mwaka huu akaniomba aje kwangu kunisalimia
Nikasema yes Akaja akaniomba 170,000 nikamchomolea akaanza kulia basi nikaona isiwe tabu nikampa laki kwa mkopo akasema atanirudishia mwezi huu wa saba mwanzoni. Baada ya kumpa iyo laki akaanza kuja gheto basi nami nikaanza kumla but nikimla nampa vijisenti, chakushangaza akanoga kaanza kuwaonea wivu marafiki zangu wa kike nikimpigia simu anataka tuongee mpaka salio likate. Nikaona mapenzi yakitoto ila na baridi hii nikaona nisimpige chini kwanza.

Mwezi nilimkumbushia kuhusu deni langu akasema nilimpa kama zawadi[emoji23][emoji23] hii manzi ntarekodi video niwape conekisheni[emoji23][emoji23]
😂😂😂 laki tu unamrecord video, ingekua Mil hivi si ungetoa albam au ungechapisha CDs usambaze kama msanii😂😂
 
Juzi single maza mmoja niliwahi piga nkasema niite tena nibutue na hapo katikati kalaa sana vihela vyangu eti akanaiambia anahitaji 50K amuachien mtoto ya sikukuuu..nkamuuliza kumbe unauzaa??? 😀 😀 akajibu hapana ila nina shida nayo nimpe mtoto siwezi muacha mwenyewe nkamwambia bhasi baki na mtotoo..
Sasa ulitaka ule bure?? Akili za kijinga kabisa hizi,yaani umuachishe shughuli zake aje kukidhi haja zako halafu still unamuuliza anauza?? Akili za kitoto hizi
 
Iko hivi mkuu, uchumi ukikaa vibaya kuna vitu lazima tupunguze au kuacha kabisa kufanya, kuna matumizi ni lazima tuachane nayo ili kuendana na hali zetu.

Huyu single mama we achana nae tu, mizinga ya 100k itakupa maradhi na utakufa masikini.
🤣🤣
 
Sasa ulitaka ule bure?? Akili za kijinga kabisa hizi,yaani umuachishe shughuli zake aje kukidhi haja zako halafu still unamuuliza anauza?? Akili za kitoto hizi
Aje nikiwa na hela nitampaa.. kwani yeye mara ngapi nampa hela bila kumkaza??? hawezi niuzia wakati analetaga shida zake nampa hela
 
Back
Top Bottom