Nimekufa ganzi, nimechoka, sikutegemea leo Lissu alale tena jela! Huyu mtu ni katili kupindukia

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nilitegemea leo Lisu angeliachiwa kwa Nolle Prosequi, kumbe ndiyo mwanzo anakaza nut!katiri kuliko Hitler!
Kitu ambacho hutegemei kutoka mwanamke , tena wa kiislamu na ushungi 24/7/360 days kichwani!
 
IMG-20260209-WA0071.jpg
 
Nilitegemea leo Lisu angeliachiwa kwa Nolle Prosequi, kumbe ndiyo mwanzo anakaza nut!katiri kuliko Hitler!
Kitu ambacho hutegemei kutoka mwanamke , tena wa kiislamu na ushungi 24/7/360 days kichwani!
lazima ashike adabu huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

hakuna hata chembe ya huruma kwenye tuhuma zinazomkabili huyo mropokaji mkiuka sheria za nchi kwa makusudi akadhani kuna wa kumkenulia hata kama anafadhiliwa na mabwenye ya magharibi :NoGodNo:
 
Mngekua wastarabu wala lissu asingekua ndan, lissu ni reflection ya wote ambao vichwa vibovu hivo anakua mfano kwenu ili mjue nchi haiongozwi kwa matamko
 
Back
Top Bottom