kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
ana hammer kwani? huyu bodaboda tu alimpeleka mtu hukoWewe hujamuona huyu wa huku kwetu Roung about Mbezi Mwisho, ungehonga mpk hilo hammer!
Miss Natafuta una balaa kubwa sana wewe! Ila vijana hatujielewi, boda boda afu anatamani vitu vikubwa!ana hammer kwani? huyu bodaboda tu alimpeleka mtu huko
povu la nini mkuuMbona wenzako wanampita tu ka sanamu wala hawasumbuki? We vip?? Una tatizo flan hivi. Fanya kosa ukimwona anaangalia upande wako akikusimamisha paki kando, zima injini, anza kushusha machozi. Akija, mwambie yaliyo moyoni mwako. Namjua yule ni mama huruma, atakusikia tu
bodaboda wanamtamani kila mtu.ndo maana hawaendelei.ndo maana tunawachukua wanatupeleka km kadhaa na hatuwalipiMiss Natafuta una balaa kubwa sana wewe! Ila vijana hatujielewi, boda boda afu anatamani vitu vikubwa!
povu la nini mkuu
Asante mkuu kwa maana hata mimi huwa ananikwatuSio povu mkuu. Soma taratiib utanipata. Nimekupa mbinu tu za kumnasa kirahisi kwani atakupa hadi namba zake.
Heeeeeeeebodaboda wanamtamani kila mtu.ndo maana hawaendelei.ndo maana tunawachukua wanatupeleka km kadhaa na hatuwalipi
Sio wabongo hawa!!ana hammer kwani? huyu bodaboda tu alimpeleka mtu huko