Nimekufa nimeoza kwa Traffic wa kike wa Chang'ombe mataa

Nimekufa nimeoza kwa Traffic wa kike wa Chang'ombe mataa

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Uzalendo umenishinda kwa huyu binti ambaye ni Traffic ambaye namuona mara kadhaa kwenye mataa ya chang'ombe karibu na Serengeti ana sifa kumi za uzuri zaidi ya alizotaja O-ten imebidi niseme tuu kama yumo humu ataskia kilio changu nipo tayari kuvunja hata ndoa yangu maana muda wa kufaidi vitu vizuri ni huu kabla hatujafa na kuingia kwenye food web tuwe mbolea.
 
okelllo.jpg

ukikutana na mguu huo unaweza ingiza gari mtaroni
 
Mbona wenzako wanampita tu ka sanamu wala hawasumbuki? We vip?? Una tatizo flan hivi. Fanya kosa ukimwona anaangalia upande wako akikusimamisha paki kando, zima injini, anza kushusha machozi. Akija, mwambie yaliyo moyoni mwako. Namjua yule ni mama huruma, atakusikia tu
 
povu la nini mkuu
 
Back
Top Bottom