Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Naona kuna kampeni ya kuwachafua watu wa Kanda ya kaskazini, kuna nyuzi nyingi humu za kuwapaka matope mfano tuhuma za ushoga
 
Njoo mbeya huku .
Wanawake wanabugia kila Aina ya makali .
Kuna pombe inaitwa haisi ni inapigwa balaa na mademu.
Konyagi na kvant kwao ni masafishio ya kuchambia Koo baada ya kula kila Aina ya pombe.
Manzi mmoja huku mbeya anaweza kukupigia konyag moja kubwa na tule tudogo tuwili alafu akawa kawaida tu.
Hii nimeikuta Sana maeneo ya tukuyu kuanzia kiwira ,kk, katumba ,had mwakaleli - kandete
 
Wakuu,

Sijui ni stress za maisha au ni nini?

Toka nimefika Arusha, kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na K-Vant.
What is wrong with these beautiful ladies?
Kuna mahala popote kwenye K vant na Konyagi imezungunzia jinsia ya watumiaji ukiacha suala umri?
 
Njoo mbeya huku .
Wanawake wanabugia kila Aina ya makali .
Kuna pombe inaitwa haisi ni inapigwa balaa na mademu.
Konyagi na kvant kwao ni masafishio ya kuchambia Koo baada ya kula kila Aina ya pombe.
Manzi mmoja huku mbeya anaweza kukupigia konyag moja kubwa na tule tudogo tuwili alafu akawa kawaida tu.
Hii nimeikuta Sana maeneo ya tukuyu kuanzia kiwira ,kk, katumba ,had mwakaleli - kandete
It's seems wanaume Kwa wanawake kwenye sehemu hizi mbili kusini na kaskazini hasa ndani ya pwani wanakua na tabia zinazofanana. Wanawake wa Kanda hizi wampetia sana ukatili kutoka Kwa wanaume wao hivo wamewafanya na wao kua kama wao. Wameiga tabia zote za wanaume wa maeneo Yao
 
Baridi kama ya Urusi na Ukraine!Bia hazipandishi mzuka!
Kvant tunayoijua huku Urusi ni hii
Screenshot_20231204-221046~2.png
 
Wakuu,

Sijui ni stress za maisha au ni nini?

Toka nimefika Arusha, kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na K-Vant.
What is wrong with these beautiful ladies?
Kwani inatokea kipande gani,unguarded au Pemba,mbona kwingine ndio za kupandia juu ya meza kwa she.😁
 
Back
Top Bottom