Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Depal upo Arusha maeneo gani mamii?, nije tujumuike kwa pamoja.Sio nyakati zote..
Hiyo ni kuanzia 2020 kurudi nyuma huko
Sahivi jua kama kawa..
Hapa nimelala na kyupi tu
Na jioni hii mvua ilipiga ya kushato
Lkn hamna baridi